Tetesi: R Kelly sasa ana Tsh 29,000 kwenye akaunti

Chicago,USA.
Ukisikia ssiku ya kufa nyani miti yote uteleza ndio haya yanayomkuta mwanamuziki R Kelly.

Mwanamuziki huyo ambaye amepitia kipindi kigumu cha kukabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono amejikuta akibaki bila salio baada ya mdeni wake kukomba kiasi cha dola 154,527 za kimarekani zilizokuwa katika akaunti yake.

Imeelezwa kwamba aliyekuwa baba mwenye nyumba amabpo R Kelly alikuwa akiishi hapoalifungua madai mahakamani baada ya R Kelly kutolipia malimbikizo ya kodi ya nyumba hiyo.

Hukumu iliyotolewa mahakamani iliagiza mwanamuziki hiyo akatwe stahiki zake katika malipo ya kazi zake za muziki au zichukuliwe fedha zilizopo katika akaunti yake.

Pamoja na benki hiyo ya Wintrust kutoa pesa zote zilizopo kwenye akaunti ya R Kelly na kubakiza dola 13 ambazo ni sawa na Tsh 29,000 bado hazijafanikiwa kulipa deni lote.

Mwanamuziki huyo aliyewahi kutamba na nyimbo kali kama vile I BELIEVE,I CAN FLY,THE WORLD'S GREATEST na SOUND OF VICTORY anadaiwa dola 194,000 za pango la nyumba.

Mbali na kesi ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba pia amefunguliwa kesi na mzazi mwenzio kwa kushindwa kutoa pesa za matunzo ya mtoto.
R. Kelly njoo uishi bongo baba, huku utamzidi hata Dimond ambaye anatusumbua sana, kaa then tutakupa uraia
 
WACHA kutulisha matango pori wewe!

Mortgage inaingiaje kwenye nyumba ya kujenga mwenyewe?

Umesema mara tatu nyumba kajenga mwenyewe!

We vp we diaspora wewe? Someni shule mkiwa huko.
Jiongeze na wewe msomi
Screenshot_20190418-073608_Chrome.jpg
 
WACHA kutulisha matango pori wewe!

Mortgage inaingiaje kwenye nyumba ya kujenga mwenyewe?

Umesema mara tatu nyumba kajenga mwenyewe!

We vp we diaspora wewe? Someni shule mkiwa huko.
l labda makosa ngoja nikasome
 
Chicago,USA.
Ukisikia ssiku ya kufa nyani miti yote uteleza ndio haya yanayomkuta mwanamuziki R Kelly.

Mwanamuziki huyo ambaye amepitia kipindi kigumu cha kukabiliwa na kesi ya unyanyasaji wa kingono amejikuta akibaki bila salio baada ya mdeni wake kukomba kiasi cha dola 154,527 za kimarekani zilizokuwa katika akaunti yake.

Imeelezwa kwamba aliyekuwa baba mwenye nyumba amabpo R Kelly alikuwa akiishi hapoalifungua madai mahakamani baada ya R Kelly kutolipia malimbikizo ya kodi ya nyumba hiyo.

Hukumu iliyotolewa mahakamani iliagiza mwanamuziki hiyo akatwe stahiki zake katika malipo ya kazi zake za muziki au zichukuliwe fedha zilizopo katika akaunti yake.

Pamoja na benki hiyo ya Wintrust kutoa pesa zote zilizopo kwenye akaunti ya R Kelly na kubakiza dola 13 ambazo ni sawa na Tsh 29,000 bado hazijafanikiwa kulipa deni lote.

Mwanamuziki huyo aliyewahi kutamba na nyimbo kali kama vile I BELIEVE,I CAN FLY,THE WORLD'S GREATEST na SOUND OF VICTORY anadaiwa dola 194,000 za pango la nyumba.

Mbali na kesi ya kushindwa kulipa kodi ya nyumba pia amefunguliwa kesi na mzazi mwenzio kwa kushindwa kutoa pesa za matunzo ya mtoto.
Kumbe ndio maana watu wanajinyonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaisha!! Ila poa tu mbona mimi sina hata mia na nnadunda tu makusudi?
 
Huyu jamaa ashazoea kuvitafuna vitoto vidogo 15,16 miaka
Malalamiko hayo hayaanza leo wala jana....aliyah mwenyewe alimegwa
Akiwa kibint kdg na jamaa

Ova
 
Achana na hao wagumu, kuna wakati walidai 50% anadaiwa kachacha na nini na nini...
Ukimtazama kweli kachacha yule?!
Hawa jamaa wanajipanga kuliko aise...
 
Nendeni you tube
Tafuteni mahojiano aliyofanya na CBS jamaa alilalama sana hadi kudai alikuwa anaibiwa hela,hajui wakati mwingine fedha zilikuwa znakwenda wapi?

Matumizi ya kina Floyd pia asije naye akaja kulialia

Ova
 
R Kelly huyhuyu si ndo aliimba na Kiba???

Hapa inawezekana Domo kafanya fitna, haiwezekani!!
 
Back
Top Bottom