Tetesi: R Kelly sasa ana Tsh 29,000 kwenye akaunti

Kwahiyo kununua nyumba ndio kuwa na akili? Acha fikra zaki 3rd world hizo
Nadhan ww ndio uache kuwa narrow mindes person.Alieongelea nyumba ni nan hapo mjinga mmoja ww??!si kila kitu alazima uelewe.Na ukiona huelew sio kosa kuuliza mbwiga we
 
Nadhan ww ndio uache kuwa narrow mindes person.Alieongelea nyumba ni nan hapo mjinga mmoja ww??!si kila kitu alazima uelewe.Na ukiona huelew sio kosa kuuliza mbwiga we

Naona mumekuja na mshangao kuona anakaa nyumba ya kukodi, mkaanza kutoa povu
 
Tatizo lá kujitakia. Anajifilisi Hili série kushinda kesi ya kushindwa kulipilia watoto wake Kwa Wanawake zake
 
Ulaya na America pagumu sana black hatupendw sana ukiwini ukiwa na gud life lazima wakutengenezee scenario matata sana wakufilisi hawapend kuona black ni zaid yao
Inawezekana ikawa kweli,ila mbona wengine kina Michael Jordan Berry Gordy hawajafilisika
 
labda makosa ngoja nikasome

kama kuna mortgage ina maana hakujenga kwa hela zake, he was a broke arse negro from the jump off

alikopa hela kama masikini wa kawaida, akaenda jenga

which is worse than what we do back here in impoverished Africa

hakuna mtu anakopa hela kujenga nyumba huku, unajenga kwa hela yako!
 
Kama tumeafikiana sawa
Have a nice day
 
haiwezekani kabisa yule hata aache kufanya chochote kile ashinde analala tu...NI TAJIRI TU analipwa sana tu
 
Mmmhhhhh hana nyumba huyo m2 pamoja na kufanya kufuru katika mauzo?
 
Umekosea kuandika heading ungeandika DIAMOND AMZIDI PESA R.KELLY

Alafu katika ufafanuzi ungetupa haya maelezo😀😀😀

Huo ndio uandishi wa udaku enzi za shigongo na magazeti pendwa
 
Ronaldinho Gaucho kwako Brazil alichunguzwa akaonekana kwenye account kuna dola 13 tu.zingine hazipo.sasa ndo ujue dunia ni kubwa sanaa
 
Kuna wataalam wa kuficha fedha mkuu....msome James Comey member hapo chini.....hawa jamaa wana washauri...sio wajinga....hili janga analopitia sasa alishalisoma miles away.....na walishajua zitakuja multiple cases ambazo zinaambatana na fidia.....hiyo ni strategy ya kuzuia mlipuko wa makesi mengine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…