Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
Sasa kama alijua kuwa atakwenda kulia in Public si angenyoa hiyo O kabisa!!this guy wanafanya kila linalowezekana waDestroy his carrier & life. Inahitaji moyo wa chuma kuishi kama r kelly kwa kipindi hiki dah.
Hajui kusoma na kuandika na kasema mwenyewe. Origina masters zake wazungu wamejimilikisha so zilw nyimbo zote alizoimba hakuna hata moja anayomiliki. Makampuni yaliyomsainisha mikataba ndio wamiliki wa hizo nyimboina maana hajawahi kununua wala kujenga nyumba.
baasi mpuuzi. hata bidhaa zake hakua nazo, biashara? huu pia ni uzembe
Hivi hawa wasanii pesa zote wanazopata wanashindwa kununua nyumba kweli...
Ukisikia ulimbukeni ndio huu aisee...
Sent using Jamii Forums mobile app
Wenzetu huko hata kana umenunua nyumba bado hauimiliki!! Sio kama africa. Kule kuna pesa wailipia hiyo nyumba na ukishindwa wanaibeba. Na ndio maana american dream ni "kumiliki nyumba bila kuilipia pesa" huki africa unalipia kiwanja kodi ya jengo na ni ndogo na sidhani kama inafanya kiwa unamyanganywe nyumba yako.l labda makosa ngoja nikasome
Nafkiri ana mpango wa ku file bankrupt...
Kumbuka hata kule mahakamani alilipiwa child support na mtu asiyejulikana. Nafkiri kuna watu wanamanage mapesa yake, au aliona game akajiandaa kwa haya anayopitia sasa
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Kwanza kunyoa tu hizo nywele katumia zaidi ya usd 13..this guy wanafanya kila linalowezekana waDestroy his carrier & life. Inahitaji moyo wa chuma kuishi kama r kelly kwa kipindi hiki dah.
Nalijua hilo kuwa unachukua mkopo wa hata miaka 25 unalipaWenzetu huko hata kana umenunua nyumba bado hauimiliki!! Sio kama africa. Kule kuna pesa wailipia hiyo nyumba na ukishindwa wanaibeba. Na ndio maana american dream ni "kumiliki nyumba bila kuilipia pesa" huki africa unalipia kiwanja kodi ya jengo na ni ndogo na sidhani kama inafanya kiwa unamyanganywe nyumba yako.
Ushaambiwa hajui kusoma wala kuandika kama ChibuMkuu kuishi ulaya suo kwamba wote wana akil.
Labda kachukua mkopo then kajengaWACHA kutulisha matango pori wewe!
Mortgage inaingiaje kwenye nyumba ya kujenga mwenyewe?
Umesema mara tatu nyumba kajenga mwenyewe!
We vp we diaspora wewe? Jielimisheni mkiwa huko.
Labda kachukua mkopo then kajenga