Rabbi Mkuu wa Israel aagiza muinjilisti aliyejifanya myahudi afukuliwe kutoka kwenye makaburi ya wayahudi

Kuwatetea wayahudi Mkuu, wao wanafuata Torah, na Torah ni kitabu kitakatifu na wayahudi wengi wa ukweli
Kuhusu mtafaruku kati ya Mayahudi na Wazayuni hili naunga mkono. Kama wiki moja nyuma niliona video kati ya Myahudi na Mzayuni wakizozana,kuhusi imani zao.

Lakini kuhusu kufata Taurati hili si kweli,sababu Mayahudi walibadili maandiko ya Taurati kimaana na kimuundi,ndiyo maana ukisoma katika vitabu vyao utaona kuna andiko ambalo nabii Musa anaelezea kifo chake hali ya kuwa yuko hai,jambo ambalo haliwezekani huku wakidai ya kuwa ameandika hayo nabii Musa.

Almuhimu Talmudi ndiyo kitabu chao Mayahudi wenyewe na ndiyo wanakifata. Uzayuni ni chama kilichoanzishwa kati ya karne ya 20 au 21.
 
Kwani wewe unaelewa nini kuhusu concept ta Taifa Teule?
Nina wasiwasi juu ya uelewa wako kuhusu hili. Usichanganye ubabe wa Israel dhidi ya Palestina na issue ya Taifa Teule.
 
Kwani wewe unaelewa nini kuhusu concept ta Taifa Teule?
Nina wasiwasi juu ya uelewa wako kuhusu hili. Usichanganye ubabe wa Israel dhidi ya Palestina na issue ya Taifa Teule.
Jibu maswali niliyo uliza.

Siongelei ubabe wa genge hilo la kihuni,bali mimi narejea kwenye historia ya Mayabudi na Wana wa Israeli.

Hili taifa la leo ni zao chama cha Kizayuni.
 
Hawa wayahudi si ndo waliomsulubisha mesiyah hawa! Inamaana mpaka ss bado wako kinyume na nabii issa(mesiah).

yaan wayahudi hadi leo wanamkataa Nabii Issa, tena wanamkataa kata kata!
Wale waambie habari za nabii mussa, Ibrahim, suleiman na daudi A.S … nenda Facebook kuna mtu anaitwa Rav dror ni myahudi umsikie anavyomkataa nabii issa kuwa c mungu na wala sio mwana wa mungu, anakataa utatu mtakatifu ambao wakristo ni katika mambo wanayoyaamini pia wao wanaamjni kuna massihi wao ambaye bado hajaja na yupo njiani atakuja soon !
 
Kwani hata hivyo Yesu na Mungu?,hivi kwanin mnapenda kutuchanganya?,kwenye kitabu cha mwanzo kuna mstari Mungu anasema hakuzaa wala hakuzaliwa alikuwepo toka enzi na enzi,leo hii mnakuja kutuambia tena Mungu alizaa!,inakuwaje labda....
 
Hii hata siyo news. Hapo Bagamoyo miaka michache iliyopita Waislam walitaka maiti ya mtoto Mkristu iliyozikwa kwenye makaburi ya Waislam iondolewe na kweli ilifukuliwa na kuhamishiwa kwingine.
Naikumbuka hii vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…