Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?


Hongera for a perfect summary, HAWA WALIOKIMBIA MAUAJI WALIENDA WAPI????? Hapa ndipo penye the weakest LINK!!! Ukisoma kitabu cha Hebrewism in West Africa pamoja na documents zingine(nilizibandika hapa) unakuta Walikimbia hadi West Africa (eastern nigeria, cameroon, around timbuktu, ghana-ashantis) na ndio chimbuko la hawa wanaoitwa leo WABANTU
 

uyahudi sio dini.
 

Hii hapa video nyingine ......

Mkuu inanistua sana hii habari .....

 
Last edited by a moderator:

Mkuu Wickama kwenye hiyo Revelation 2:9 ilikuwa ni ujumbe kwa kanisa lililopo Smirna, ambapo kulikuwa na jumbe katika makanisa saba, yaliyokuwepo Asia ndogo ambayo kwa sasa ni Uturuki... kwa hiyo hayo maelezo yalihusu kanisa la Smirna... Na makanisa yote hayo saba yalikuwepo Uturuki...
 
Last edited by a moderator:


mkuu shukran sana, the message though ni kuwa kulikuwa na jewish impostors tangu zama and those impostors often ended with unholy activities. Nashukuru kwa darasa murua!!!
 
Joshua 24:32 And the bones of Joseph, which the children of Israel brought up out of Egypt, buried they in Shechem, in a parcel of ground which Jacob bought of the sons of Hamor the father of Shechem for an hundred pieces of silver: and it became the inheritance of the children of Joseph.

So we are not laying claim to what you believe to be yours, but what was most certainly given to us, and includes a lineage to Abraham Isaac and Jacob.
 
Kwa mimi ingekuwa ni "eketosho kerakenya" tuko pamoja kiongozi!!!!

Kiongozi,

Nimesoma Kumbukumbu la Torati 28:15-68 halafu nikitazama yale ambayo yametupata Waafrika hasa sisi Wabantu naona kama yaani ni mule mule mkuu ...

Sijui hata ni kwanini nakutana na haya mambo...
Ishmael unaweza kunisaidia mawazo hapa?

 
Last edited by a moderator:
It is the prophet Isaiah who gives us the best description of the physical appearance of Jesus: "He grew up before him like a tender shoot, and like a root out of dry ground. He had no beauty or majesty to attract us to him, nothing in his appearance that we should desire him" (Isaiah 53:2).


 
Kiongozi,

Nimesoma Kumbukumbu la Torati 28:15-68 halafu nikitazama yale ambayo yametupata Waafrika hasa sisi Wabantu naona kama yaani ni mule mule mkuu ...

Sijui hata ni kwanini nakutana na haya mambo...
Ishmael unaweza kunisaidia mawazo hapa?
Although, on the first dispensation, the LAW was to the Israelites and not the Heathens. When God gave the laws to Moses, remember it was only to them and not another people of the world. Ndio maana ikabidi on the second dispensation Yesu asema haya: John 1: 17 For the law was given through Moses; grace and truth came through Jesus Christ. John 7:19 Has not Moses given you the law? Yet not one of you keeps the law. Why are you trying to kill me?"

Now, if we Africans are the true Black Jews, then we are in it: See
Acts 8:26-33

Philip and the Ethiopian Eunuch

26 Now an angel of the Lord said to Philip, "Rise and go toward the south[a] to the road that goes down from Jerusalem to Gaza." This is a desert place.27 And he rose and went. And there was an Ethiopian, a eunuch, a court official of Candace, queen of the Ethiopians, who was in charge of all her treasure. He had come to Jerusalem to worship 28 and was returning, seated in his chariot, and he was reading the prophet Isaiah. 29 And the Spirit said to Philip, "Go over and join this chariot." 30 So Philip ran to him and heard him reading Isaiah the prophet and asked, "Do you understand what you are reading?" 31 And he said, "How can I, unless someone guides me?" And he invited Philip to come up and sit with him. 32 Now the passage of the Scripture that he was reading was this:
"Like a sheep he was led to the slaughter
and like a lamb before its shearer is silent,
so he opens not his mouth.
33 In his humiliation justice was denied him.
Who can describe his generation?
For his life is taken away from the earth."


HIZI AYA zinatueleza kuwa, KUMBE Waaafrika/Ethiopia walisha ifahamu Biblia hata kabla ya kuja kwa Yesu na Wazungu Afrika.

Haya ni maswali ya kujiuliza:
1. Huyu Muithiopia alipata wapi kitabu cha Isaya?
2. Huyu Muithiopia alikwenda kufanya nini Isarel?
3. Huyu Muithipia, kwanini atajwe kwenye Biblia?

Hakika kuna somo kubwa sana ndani yake. Isome hii Acts 8: Anzia aya ya 26 na malizia mpaka aya ya 40.

Mungu awabariki sana.
 
I see, let me do my forensic research on that.

Thank you
 

Asante sana mkuu,nimekumbuka kuwa kumbe biblia haikuletwa huku na hawa wavamizi bali tuliijua tangu na tangu na kwa maana hiyo huyu toashi alizileta huku hizi habari na sio hao wavamizi

Lakini pia kuna historia moja ambayo inasema kuwa kuna mmoja kati ya wanafunzi wa Yesu alikuja hadi Libya

Pamoja na hayo,bado kuna uwezekano [kwa mujibu wa ushahidi uliopo] kuwa Wabantu wana asili ya Wayahudi na kwa maana nyingine ni Wayahudi wale wa kwenye maandiko....

Tukiachana na hilo,hayo maonyo ya Mungu kwa Waisrael [Wabantu?] kuwa kama hawatashika sheria zake yalikuwa ni ya wakati gani kama baada ya kuja Yesu yatakuwa hayana maana?

Na pia,kama sisi Wabantu ni Waisrael,huoni kuwa hayo maandiko yanatuhusu?

Lakini pia naamini kuwa wakati Mungu anatoa hayo maonyo alikuwa anajua kuwa kuna wakati atakuja kuwaokoa na dhambi na laana,je kama sisi Waisrael tukimpokea Yesu,laana hiyo inaondoka kwetu kivipi? Kwa mtu mmoja mmoja au kwetu jumla? Maana Kristo amefanywa laana kwaajili yetu

Asante ......!!
 
Asante sana mkuu,nimekumbuka kuwa kumbe biblia haikuletwa huku na hawa wavamizi bali tuliijua tangu na tangu na kwa maana hiyo huyu toashi alizileta huku hizi habari na sio hao wavamizi
Amen Kiongozi

Lakini pia kuna historia moja ambayo inasema kuwa kuna mmoja kati ya wanafunzi wa Yesu alikuja hadi Libya
Simon
Dorotheus was a bishop of Tyre (255 A.D.) is credited with an “Acts of the Seventy Apostles” which may be the same work as the lost Gospel of the Seventy.
Nicephorus and Dorotheus both wrote about Simon:
“directed his journey toward Egypt, then to Cyrene, and Africa … and throughout Mauritania and all Libya, preaching the gospel … . Nor could the coldness of the climate benumb his zeal, or hinder him from whipping himself and the Christian doctrine over to the Western Islands, yea, even to Britain itself. Here he preached and wrought many miracles … .” “that he went at last into Britain, and … was crucified … and buried there”
(Cave, Antiquitates Apostolicae, p.203.).

http://12tribehistory.com/where-did-the-disciples-go/


Pamoja na hayo,bado kuna uwezekano [kwa mujibu wa ushahidi uliopo] kuwa Wabantu wana asili ya Wayahudi na kwa maana nyingine ni Wayahudi wale wa kwenye maandiko....
Ukienda pale Ethiopia utaona asiki kubwa sana ya Wayahudi. In fact, hata Mabaki ya Msalaba wa Yesu inasemekana yapo pale Ethiopia, simultaneously, na mabaki ya arc of the covenant yapo pale.

UNESCO Culture Sector - Intangible Heritage - 2003 Convention :

Ark of Covenant 'to be revealed' after leaking roof in Ethiopian chapel | Daily Mail Online
Tukiachana na hilo,hayo maonyo ya Mungu kwa Waisrael [Wabantu?] kuwa kama hawatashika sheria zake yalikuwa ni ya wakati gani kama baada ya kuja Yesu yatakuwa hayana maana?
Yes, the law became powerless baada ya kuja Yesu. Ndio maana hii leo hatufanyi sacrifice ya wanayama kama wakati ule. Sasa tupo na Damu ya Yesu. So, Jesus made Mosaic law obsolete. The Scriptures such as Luke 2:21-39 and Mark 7:8-13 show that the "Law of Moses" is the "Law of God" and is one law which includes moral, ceremonial and civil elements, all of which are cannot be separated from the penalties. The law, the law of Moses and the Old Covenant are terms that are used interchangeably. Jesus says in Mark 7:10: "For Moses said, `Honor your father and your mother'; and, `He who curses father or mother, let him be put to death.' This is the 10 Commandments, yet Jesus attributes it to Moses, not to the 10 commandments, making no distinction. What we see is keeping the moral commandments also means observing the penalties.

Na pia,kama sisi Wabantu ni Waisrael,huoni kuwa hayo maandiko yanatuhusu?
As long as you are under Mosaic Law, yes, you were part of it, at that time, prior to Jesus.


Galations 3:23-25
Before the coming of this faith, we were held in custody under the law, locked up until the faith that was to come would be revealed. So the law was our guardian until Christ came that we might be justified by faith. Now that this faith has come, we are no longer under a guardian.

With his blood, Jesus purchased us from death. Jesus was the fulfilment of the law; not us. Because of that, we are bound as slaves of righteousness. We're not going to fulfill the law in our own lives, and we're not expected to; but lest we use this as an excuse to sin without rein, we are supposed to set our sights on righteousness out of gratitude and duty to our Savior. Those who understand the Gospel (the goodness of God, the wickedness of sin, the graciousness of God to provide a savior) will, naturally seek to please the God who save them and whom they serve, and the best way we can know what this is it to look to the law He's given us.
 
Nakushukuru sana kwa majibu mazuri sana mkuu,

Tukio la mwaka 70 AD lipo kwenye unabii upi mkuu?

Sio ule wa kwenye Kumb la Torati?

Kama ndio huo,kwanini haukuondoka kwa damu ya Yesu?
 
Nakushukuru sana kwa majibu mazuri sana mkuu,

Tukio la mwaka 70 AD lipo kwenye unabii upi mkuu?

Sio ule wa kwenye Kumb la Torati?

Kama ndio huo,kwanini haukuondoka kwa damu ya Yesu?


Maoni kuhusu swali lako huwa wengi wanaichukulia prophecy ya Mathew 24:16 kuwa kama indicator kama alivyoandika huyu bwana;


source: Should Christians Flee to the Mountains in the End Times?

Pia kuna wanaoitumia Luke 21:6 kama ikieleza kitachofuata huko Yerusalem. Huwa wanaelezea kuwa 70 AD Warumi waliupora Mji wote na kubomoa kuta nyingi wakisaka Dhahabu.

"As for these things which you are looking at, the days will come in which there will not be left one stone upon another which will not be torn down."


The only conflict in especially the first narration is that it is not correct to assume Jesus was warning Christians. NO. Infact he was warning THE ISRAELITES of the TIME to whom he was sent and into whose synagogues he too prayed

Hayo yaache. Hebu wewe na jopo la wakuu Mkuu wa chuo, 2013, Ishmael, etc. mtoe duku duku kwenye hii transition ya maneno;

1. Yahweh (Hebrews)
2. Yahbe (also pronouced as Yambi) and Yah (Cameroon and Eastern Nigerian bantus), Rastafarians-Jah
3. Yambi, Nyambi, Zambi (central africa bantus like zambia)
4. Nzambe (kongo--- refer Yesu mwana wa Nzambe!!!!)
5. Zumbe (Zigua, Bondei, Sambaa plus other TZ bantus)
6. Sambwa (also prounced as Risambwa, Emesambwa) - Lake zone bantus (like Kuryas)

I assume, By and Large, Bantus were worshiping Yahweh all along. This is probably why you don't find idols being worshiped in this group of people. Worshiping was ALWAYS through ANCESTORS. Settling of Critical issues like calamities and droughts in this group were entrusted to a chosen people and were often accompanied with animal sacrifices (especially KONDOO), stories on droughts tell that it OFTEN rained when these guys did that!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…