Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Rabi Leo Baeck ni nani kwa Israel?

Mkuu hebu achana na hayo mambo ya kidini na turudi kwenye mada ....

Hebu tuangalie Waisraeli hasa ni akina nani na kama ni hawa walioko huko au ni wengine ....!!

Eiyer my little brother, I asked you to google about Cushites and the others, did you do that? If you did then you might find that even the word Bantu is derived from the Hittites and Hamurabi of Mesopotamia (Iraq). Then you should have found that Darius ( The source Swahili name Darweish or Idarous) is a black Shirazi Emperor (with hair zake koto) you should have found that the original Arabs amd Jews are Black)

Now I give you another thing for you to check the history of Coptic Christians if you go to the Egyptian Coptic main Church there in you will find the very old ancient painting of Jesus and his deciples are Black ( Abysinian or Nubian complexion).

to be continued.,,,,,,,,
 
Kinachoniudhi ni hii dhana kuwa Waisraeli ni wakrustu kwa kuwa Yesu alizaliwa huko. Kwa kuwa Wapalestina ni Waislam na kwa kuwa wanagombana na kwa kuwa wanashindwa basi inakuwa Wakristu wanawaonea waislam.

Kitu hakisemwi ndio hiki, kwamba Waisrel dini yao kuu sio Ukristo bali ni Uyahudi na wanatumia masinagogi chini ya hao Rabi.
Vikundi vingi vya siasa kali vimejitokeza kutoka kwenye dhana hii.
Hata mswahili wa vijiweni utamsikia akingea kwa mtindo huu.
Watajitambula lini.?
 
Jamal, you are right. Wakurya tunatumia neno "Omohamate" kuonyesha mtu ambaye sio katika sisi/familia. Kwa kweli hili neno nadhani ni kuelezea "hamites, or hamitic. Ikimaanisha hatukuwa hamites. Na kweli bantus sio hamites. wana historia huwa wanafundisha kuwa asili ya wabantu ni kwenye misitu ya west africa, lakini ukiangalia mji mkuu wa cameron (Yaounde) ukiondoa hiyo N unakuta unatamka Yahudi. Kisha ukikuta maandishi ya scholars wa kiislamu wa Spain wakati ikiwa chini ya waislamu (refer al-idiris of ceuta, hebrews, west africa), wameandika kirefu kuwa kulikuwa na biashara ya watumwa mwambao wa africa magharibi ambamo wayahudi waliokuwa maeneo jirani na timbuktu (west africa) walikamatwa na kuuzwa kama watumwa.

Hawa wayahudi wako wapi leo? Mchora ramani wa awali kabisa aliyechora ramani za africa magharibi (vatican cartographer) alionyesha bayana kulikuwa na a kingdom of yuda. wafanya biashara wa watumwa (wazungu) walijuwa kabisa kuwa walikuwa wananunua uzao wa Yakobo (wabantu) na kuupeleka utumwani

Upo ushahidi mwingi unaoonyesha kuwa hawa wanaoitwa wabantu LEO ndio haswa walikuwa the Israelites at the time of Judah. Kwenye hii video angalia kufanana kwa bantu language (kikongo-lingala) na Hebrew language

[video=dailymotion;xqwil3]http://www.dailymotion.com/video/xqwil3_history-of-bantus-ancient-israel-of-the-bible-part-2_creation?from_related=relate d.page.int.meta2-only.ed1c1bf40f04b7c2224b690c6 30395e5141979731[/video]

cc Eiyer, Mkuu wa chuo,

Wickama sasa kama hivi ndivyo ilivyokuwa ilikuwaje sasa sisi wabantu tukakosa kuwa na sarufi (alphabet) wakati hao wayahudi wahamiaji walikuwa nayo?Ilipoteaje?
cc Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Eiyer my little brother, I asked you to google about Cushites and the others, did you do that? If you did then you might find that even the word Bantu is derived from the Hittites and Hamurabi of Mesopotamia (Iraq). Then you should have found that Darius ( The source Swahili name Darweish or Idarous) is a black Shirazi Emperor (with hair zake koto) you should have found that the original Arabs amd Jews are Black)

Now I give you another thing for you to check the history of Coptic Christians if you go to the Egyptian Coptic main Church there in you will find the very old ancient painting of Jesus and his deciples are Black ( Abysinian or Nubian complexion).

to be continued.,,,,,,,,

Punjab listen ....

Hapa hatuambianiuende tuka google kwasababu ningeweza kufanya hivyo bila hata ya kuleta mada hapa,lakini hujo google kuna tatizo zaidi ya moja

Kwanza tunaweza kusoma kitu kile kile na tukaelewa tofauti na hii ndio sababu ya kuja na kujadiliana hapa ili tuweze kupata vitu vile vile

Pili,google ni msitu kwa maana kuwa huwezi kukutana na kila kitu bali wenzako wanaweza kukutana na ambavyo wewe hujaviona na wewe ukakutana na vile ambavyo wao hawajaona,kwa maana hiyo sasa tunakuja hapa kujadiliana kama una ambavyo sivijui unaweka hapa na mimi hivyo hivyo pia

Punjab,kama kuna kitu unakielewa andika hapa halafu weka link kama kuna mtu anahitaji kujua zaidi,hiyo ndio maana ya mjadala na sio kuambizana ku google

Kwa mtin do unaoufanya wewe hakuna maana ya kuwepo hapa na kujadiliana maana tungeweka tu ma link hapa na kazi inakuwa imekwisha

Tiririka mkuu tujifunze pamoja!
 
Wickama sasa kama hivi ndivyo ilivyokuwa ilikuwaje sasa sisi wabantu tukakosa kuwa na sarufi (alphabet) wakati hao wayahudi wahamiaji walikuwa nayo?Ilipoteaje?
cc Eiyer

Niliwahi kusoma mahali kuwa tulikuwa nazo mkuu na saikumbuki ni kitu gani kilifanya zikatoweka,kuna kitu naanza kukielewa kuhusu na sababu ya watu fulani kutaka kuisambaratisha kabisa historia yetu

Ngoja niendelee kujifunza kwanza!
 
Labda mimi naweza kuchangia kidogo hapa.. Kuna chama cha siri kinaitwa Rothschild naimani sio jina geni kwako we mfuatiliaji wa haya mambo... Sasa Rothschild imetumika kwa kiasi kikubwa sana kumfinance Hitler, sambamba na vatican chini ya kanisa la roman cathoric under, pope pius.. Kwa hivyo basi huu ukoo wakiyahudi wa Rothschild uliingia kwenye mkataba, katika kipindi cha vita ya kwanza ya dunia, chini ya mkataba unaoitwa Tha Barlfoul declaration ambayo by that time palestine was under Britain, sasa kutokana na vuguvugu ya vita ya kwanza na ujerumani kama kawaida kuonekan chachu, nakuonyesha upinzani mkubwa dhidi ya allies, Rothschild ili ishinikiza serikali ya uiingereza, kuwaruhusu wayahudi ambao by that time walikua wanakaa ulaya kuhamia palestine ambayo it was a mandate territory over the Britain.

Makubaliano ya mkataba huu yalikua nikuhakikisha ili ujerumani kushidwa vita, inabidi mtoto wa uingereza ambaye ni Marekani kuingilia katika ya vita au mwishoni wa vita na kuongeza nguvu kwa allies ili washinde vita, na kwa wao kushinda vita ilikua ni kwakusign mkataba wa balfour wa kuwaruhusu wayahudi kuhamia palestine, huku wakiandaa harakati au upenyo au njia ya vita ya pili, na changamoto yote ya holocaust (mauaji ya wayahudi katika vita ya pili), ili wayahudi wapate pakujitetea pakukimbilia walihali wenzao walisha tangulia kabla.

Hivyo basi kwakua mchakato mzima uliundwa na wazayuni, ambao ni hao rothschild, Theodore herlz etc, na wao hao ndio walitunuku hyo bendera na hyo alama ya nyote kua hapo... "Kumbuka Rothschild ni jamii ya siri ambayo zina sadikika kumtumikia muovu ibilisi shetani, kwa wanao amini, na alama ya nyota au hexagram ni nembo kubwa sana kwa hizi jamii za siri na za kishetani" kumbuka kunatofauti sana kati ya uzayuni, ambao naweza kusema ni kama ugaidi kama isis, dhidi ya uisraeli wenyewe ambao tumeweza kuushuhudia katika maandiko matakatifu ambao umeletwa na mitume, manabii na wafalme. Nadhani nimejieleza vizuri.
Endelea kufunguka mkuu! Hapo nilipo red pamenivutia sana, maana hao jamaa Israeli wanayoyafanya nashindwa kukubali kuwa ndio mpango wa Mungu.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk
 
Endelea kufunguka mkuu! Hapo nilipo red pamenivutia sana, maana hao jamaa Israeli wanayoyafanya nashindwa kukubali kuwa ndio mpango wa Mungu.

Sent from my SM-G800H using Tapatalk

Mwenzako kasema Uzayuni wewe unasema Israel!!
 
Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili kumtumikia.

Eneo hilo la Palestina (zamani lilijulikana kama Kaanani)ndiyo chimbuko la dini kuu tatu zenye msingi wa Ibrahim ambazo ni dini ya Wayahudi, Ukristo na baadaye Uislam.

Dini ya wayahudi yenye misingi ya Biblia Agano la Kale likianza na vitabu vitano vya Musa (Mwanzo, Kutoka, Hesabu, Mambo ya Walawi na Kumbukumbu la torati), Ukristo ukianza misingi kwenye Agano la Kale hadi Agano Jipya na Uislam ukishika vitabu vinne Tourat ya nabii Musa (a.s), Zabur ya nabii Dawood (a.s), Injili ya Issa bin Mariam (a.s.) au Yesu na Quran ya Muhamad (s.a.w)

Ibrahim mwenyeji wa Uru wa Ulkadayo (Mesopotamia) leo Iraq wa kabila la Waebrania anahama kutoka Iraq na kwenda Haran Syria na baadaye kutelemkia Kaanani (Uyahudi) ambapo Mwenyezi Mungu anamtokea katika njozi na kumwapia Ibrahimu kuwa ardhi yote hiyo amepewa yeye na uzao wake na kuahidiwa baraka yaani kubarikiwa kwa kila atakaye mbariki na kwamba jamaa zote za dunia zitajibarikia.

Pamoja na ahadi hiyo Mungu anamwambia nabii Ibrahimu kuwa uzao wake utakwenda utumwani Misri kwa miaka mia nne hadi kizazi cha nne ndipo watakapookolewa na kupandishwa Kaanani (Palestine).

Mizizi ya ugomvi huo inaanzia karne ya 19 wakati wa vuguvugu la utaifa la Uzayuni na Uarabu (Arab nationalism) vuguvugu la wayahudi (Jewish National Movement) lilianzishwa kuwa la kisiasa mwaka 1892 dhidi ya Urusi na Ulaya. Mkakati ulianza kwa wayahudi wote popote walipo kurejea katika nchi ya Palestina ambapo walipachukulia kuwa ndiyo nchi yao ya asili.

Katika kutimiza azma yao World Zionist Organization na Jewish National Fund walihimiza uhamiaji na kufadhili ununuzi wa ardhi chini ya utawala wa Ottoman na Uingereza katika Palestina.

Mgongano huo ukianzishwa na Uingereza kwa kile kilichafahamika kama Hussein-McMahon Correspondence na Balfour Declaration of 1917, na kufuatiwa na milipuko ya mapigano ya mara kwa mara kati ya Wayahudi na Waarabu katika eneo la Palestina.

Hakuna asiyekumbuka jinsi kiongozi wa Wanazi Adolf Hiltler alivyowafanyia wayahudi kwa maangamizi makuu ya Nazi Holocaust, ikiwa ni jitihada ya kulifuta taifa hilo..
 
.

In Bible times, the area now known as Israel was called the land of Canaan.

In Genesis chapter 12 God commanded Abraham (a.k.a. Abram) to move to Canaan. Abraham was then living in Ur of the Chaldeans. Ur was located in what today is southern Iraq.
 
Concerning the origin of the name "Palestine," I will quote several applicable segments of Israel's history as follows...

  • In 14 BC, Israel became a nation.
  • In circa 12 BC the Philistines invaded and occupied a strip of land by the Mediterranean Sea along the southwest coast of Israel.
  • In 61 BC, Israel was conquered by the Roman Empire.
  • For many years (including New Testament days) the Roman Empire allowed the Israelis to remain in Israel, as a subservient people.
  • In 70 AD the Roman Empire destroyed the temple in Jerusalem and dispersed all the Israeli people out of Israel.
  • Rome then renamed Israel as "Palestine" -- a name derived from the ancient name, "Philistines."
 
Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu kwa Wakristo na Wayahudi), kitabu cha kwanza cha nabii Musa kiitwacho Mwanzo sura ya 12 inaonesha jinsi Ibrahim anavyoitwa na mwenyezi Mungu ili kumtumikia.

Eneo hilo la Palestina (zamani lilijulikana kama Kaanani)ndiyo chimbuko la dini kuu tatu zenye msingi wa Ibrahim ambazo ni dini ya Wayahudi, Ukristo na baadaye Uislam.

Dini ya wayahudi yenye misingi ya Biblia Agano la Kale likianza na vitabu vitano vya Musa (Mwanzo, Kutoka, Hesabu, Mambo ya Walawi na Kumbukumbu la torati), Ukristo ukianza misingi kwenye Agano la Kale hadi Agano Jipya na Uislam ukishika vitabu vinne Tourat ya nabii Musa (a.s), Zabur ya nabii Dawood (a.s), Injili ya Issa bin Mariam (a.s.) au Yesu na Quran ya Muhamad (s.a.w)

Ibrahim mwenyeji wa Uru wa Ulkadayo (Mesopotamia) leo Iraq wa kabila la Waebrania anahama kutoka Iraq na kwenda Haran Syria na baadaye kutelemkia Kaanani (Uyahudi) ambapo Mwenyezi Mungu anamtokea katika njozi na kumwapia Ibrahimu kuwa ardhi yote hiyo amepewa yeye na uzao wake na kuahidiwa baraka yaani kubarikiwa kwa kila atakaye mbariki na kwamba jamaa zote za dunia zitajibarikia.

Pamoja na ahadi hiyo Mungu anamwambia nabii Ibrahimu kuwa uzao wake utakwenda utumwani Misri kwa miaka mia nne hadi kizazi cha nne ndipo watakapookolewa na kupandishwa Kaanani (Palestine).

Mizizi ya ugomvi huo inaanzia karne ya 19 wakati wa vuguvugu la utaifa la Uzayuni na Uarabu (Arab nationalism) vuguvugu la wayahudi (Jewish National Movement) lilianzishwa kuwa la kisiasa mwaka 1892 dhidi ya Urusi na Ulaya. Mkakati ulianza kwa wayahudi wote popote walipo kurejea katika nchi ya Palestina ambapo walipachukulia kuwa ndiyo nchi yao ya asili.

Katika kutimiza azma yao World Zionist Organization na Jewish National Fund walihimiza uhamiaji na kufadhili ununuzi wa ardhi chini ya utawala wa Ottoman na Uingereza katika Palestina.

Mgongano huo ukianzishwa na Uingereza kwa kile kilichafahamika kama Hussein-McMahon Correspondence na Balfour Declaration of 1917, na kufuatiwa na milipuko ya mapigano ya mara kwa mara kati ya Wayahudi na Waarabu katika eneo la Palestina.

Hakuna asiyekumbuka jinsi kiongozi wa Wanazi Adolf Hiltler alivyowafanyia wayahudi kwa maangamizi makuu ya Nazi Holocaust, ikiwa ni jitihada ya kulifuta taifa hilo..

Mkuu nakushukuru kwa maneno yako haya mazuri ...........

Lakini kama umesema hii sio ile Israel ya kwenye maandiko,je hiyo Israel ni ipi?
Je Waisrael wanaojulikana kuwa ni Waisrael leo ni Waisrael kweli?
Kama sio je Waisrael wa kweli ni wapi hao?

Unaweza kupitia maandiko ya mkuu Wickama huko juu ili upate mwanga kidogo ....

Karibu mkuu!
 
Last edited by a moderator:
Wickama sasa kama hivi ndivyo ilivyokuwa ilikuwaje sasa sisi wabantu tukakosa kuwa na sarufi (alphabet) wakati hao wayahudi wahamiaji walikuwa nayo?Ilipoteaje?
cc Eiyer

Jamal, kwa kweli sina jibu jepesi kuhusu swali lako. SIJUI. Labda tuvute fikra kuhusu yaliyojiri kwenye eneo husika na kuangalia maandiko;

1. Kuna mtafiti-explorer mmoja wa kiingereza alitembelea pwani ya Guinea zamani sana (1710) enzi za utumwa na kuandika kuwa

“I am credibly informed, that ye Country about hundred Leagues North of the Coast of Guinea, is inhabited by white Men, or at least a different kind of People from the Blacks, who wear Cloaths, and have ye use of Letters, make Silk, & that some of them keep the Christian Sabbath.”

source: Untitled Document

2. Kuna watafiti walioandika uwepo wa hebrews huko west africa miaka ya nyuma, na wengine walijikuta hata wao ni hebrews:

  • Al-Idrisi, the famous geographer born in Ceuta, Spain in the 12th century wrote about Jewish Negroes in the western Sudan.
  • Ismael Diadie Haidara, a historian from Timbuktu, has found old Hebrew texts among the city's historical records. He has also researched his own past and discovered that he is descended from the Moroccan Jewish traders of the Abana family. As he interviewed elders in the villages of his relatives, he has discovered that knowledge of the family's Jewish identity has been preserved, in secret, out of fear of persecution.
Source: African Jewry: A Microcosm of the Jewish Diaspora.

3. Lakini ukichanganya point # 1 na #2 hupati jibu ni kwanini wabantu hawana own alphabets, hata mimi sijapata jibu. Labda wengine waliopata mwanga juu ya jambo hili watuhabarishe

cc Eiyer, Mkuu wa chuo,

Last edited by a moderator:
Mkuu nakushukuru kwa maneno yako haya mazuri ...........

Lakini kama umesema hii sio ile Israel ya kwenye maandiko,je hiyo Israel ni ipi?
Je Waisrael wanaojulikana kuwa ni Waisrael leo ni Waisrael kweli?
Kama sio je Waisrael wa kweli ni wapi hao?

Unaweza kupitia maandiko ya mkuu Wickama huko juu ili upate mwanga kidogo ....

Karibu mkuu!

Mkuu, labda Yericko Nyerere, refer kwenye aya ya Revelation 2:9,

I know your suffering and your poverty-though you are rich-and the slander committed by those who claim to be Jews but are not. They are the synagogue of Satan

Siku hizi Kila mwaka kuna annual GAY parade in Jerusalem and Tel-Aviv by those claiming to be JEWS!!!!! In the birth places of holly prophets!!!!!

Mkuu Eiyer, what happened to "ekituju kirakenya?" i sort of enjoyed the code!!!!
 
Back
Top Bottom