Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Nimepata notification ya huu uzi ila sijui nani kanitag

Uzi wenyewe upe kipambe..!
 
Apambane na umaskini wake kwa kweli....kila mtu anajua uwezo wake na wapi aende na kwa wakati gani we call it freedom of choice.
 
Haya mambo ya Valentine's sijui ni Nani alileta Tanzania??? Ujinga ambao unafanyika tu Tanzania. Valentine spend na mke wako nyumbani mnunulie zawadi nzuri that's it acheni sifa za kijinga sijui Hyatt ujinga mtupu ndo maana tunabaki maskini na wizi juu.
 
Nyie mnahangaika nini? Kwani mmelazinishwa? Hivi nstumizi binafsi ya mtu mnategemea amsklze mtu mitandaoni?!

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Kashakujibu tyr huko instagram [emoji3][emoji3][emoji3]
 
S hotelini tu...viwandani nako n shida...idara ya kazi imekaa kmya...hakuna wa kuwatetea hawa wafanyakazi
 
Chamatusi. Halafu Rachel kajiajiri wapi kwanza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Embu akwende huko na uongo wake.
Miss Natafuta shoga njoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…