Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Rachel Temu vs Hyatt Regency: Ushauri wangu kwako..

Nimepata notification ya huu uzi ila sijui nani kanitag

Uzi wenyewe upe kipambe..!
 
Apambane na umaskini wake kwa kweli....kila mtu anajua uwezo wake na wapi aende na kwa wakati gani we call it freedom of choice.
 
Haya mambo ya Valentine's sijui ni Nani alileta Tanzania??? Ujinga ambao unafanyika tu Tanzania. Valentine spend na mke wako nyumbani mnunulie zawadi nzuri that's it acheni sifa za kijinga sijui Hyatt ujinga mtupu ndo maana tunabaki maskini na wizi juu.
 
Nyie mnahangaika nini? Kwani mmelazinishwa? Hivi nstumizi binafsi ya mtu mnategemea amsklze mtu mitandaoni?!

Sent from my SM-G530H using JamiiForums mobile app
 
Kashakujibu tyr huko instagram [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Ni mpuuzi tu anayeweza kuipinga vita aliyoianzisha yule dada...faida za vita hii ni kubwa kuliko hasara, mi naona bora awalipue tu wasenge sana hawa watu wa mahoteli.
Hakuna kitu kinauma kama unaenda hotelini unaagiza chakula cha laki sba halafu muhudumu anayekuandalia na kukuletea analipwa laki laki mbili na ishirini mwisho wa mwezi, ndo inasababisha wale wadada wanabanduliwa hovyo tu mule ndani na wateja kama makahaba bhana.
S hotelini tu...viwandani nako n shida...idara ya kazi imekaa kmya...hakuna wa kuwatetea hawa wafanyakazi
 

Attachments

  • Screenshot_2018-02-09-11-08-16.png
    Screenshot_2018-02-09-11-08-16.png
    273.9 KB · Views: 316
Chamatusi. Halafu Rachel kajiajiri wapi kwanza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Embu akwende huko na uongo wake.
Miss Natafuta shoga njoo
 
Back
Top Bottom