Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nacheka hatari.
Anataka kunirahisishia kazi huyo....
Teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nacheka hatari.
Nishamwambia sitaki competitionAnataka kunirahisishia kazi huyo....
Teh teh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii nchi ina mambo ukute na wewe unasema una kichwa !!!
Kweli hujaona kosa hapo ?
Ndivyo ilivyo mkuuReally? aise ngoja niendelee kutafuta maheela
Kwa kweli ningekuwa na akaunti insta ningeenda kumpa excellent yakeAnatumia nani nimfolow nikamuunge mkono
Za madanga.....wavizia madanga utawaona humu.
KasemajeeKashakujibu tyr huko instagram [emoji3][emoji3][emoji3]
S hotelini tu...viwandani nako n shida...idara ya kazi imekaa kmya...hakuna wa kuwatetea hawa wafanyakaziNi mpuuzi tu anayeweza kuipinga vita aliyoianzisha yule dada...faida za vita hii ni kubwa kuliko hasara, mi naona bora awalipue tu wasenge sana hawa watu wa mahoteli.
Hakuna kitu kinauma kama unaenda hotelini unaagiza chakula cha laki sba halafu muhudumu anayekuandalia na kukuletea analipwa laki laki mbili na ishirini mwisho wa mwezi, ndo inasababisha wale wadada wanabanduliwa hovyo tu mule ndani na wateja kama makahaba bhana.
Kasemajee
ahahaaaa ngoja nimalizie kazi kwanzaChamatusi. Halafu Rachel kajiajiri wapi kwanza? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Embu akwende huko na uongo wake.
Miss Natafuta shoga njoo