Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
- Thread starter
- #61
wewe nawe .ushaanzaUmeshindwa kumbadili huko mnakoonana face to face uweze kumbadili huku mnakotumia fake IDs...?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe nawe .ushaanzaUmeshindwa kumbadili huko mnakoonana face to face uweze kumbadili huku mnakotumia fake IDs...?
Ni kweli je turudi Kwenye elimu Asilimia kubwa ya watanzania Kwenye 5 stars hotel wengi wao ni Wafanyakazi wa nafasi za kawaida. Serikali YETU yenyewe inadharau hii Sekta ukiachana na National college of tourism ambayo inatoa Mwisho diploma nitajie chuo kinachotoa degree ya hospitaly hapa Tanzania vitano tu?Kabla hujawatetea hao wapuuzi hyat na hoteli zingine.
Unajua tofauti ya mishahara wanayopewa foreigners na wazawa?
(Kwenye mabano kuna tusi la da Ma...)
Sasa umeshindwa huko mnakoonana vikaoni, unaleta huku kwa watu tusiomjua na wanaotumia fake IDs atatusikiliza? Kwanza wengine hata mlango wa HYATT hatuujuiwewe nawe .ushaanza
HahahahahaSasa umeshindwa huko mnakoonana vikaoni, unaleta huku kwa watu tusiomjua na wanaotumia fake IDs atatusikiliza? Kwanza wengine hata mlango wa HYATT hatuujui
Huwezi mfananisha mange na recho banaNaona kaachana na Singita Grumet kahamia Hyatt. Rachel nae kama Mange basi tu mmoja yuko bongo mwingine US ila akili moja hao mashoga wa zamani.
Za madanga.....wavizia madanga utawaona humu.Nyuzi za wakishua hizi[emoji124] [emoji124]
Matusi na sifa. Alivyo mzuri jamani akili yake nayo ingekua nzuri vile sijui ingekuaje.watu wanamuogopa sana yule ana matusi ,ila sijui ana matatizo gani.kila mtu ana uhuru wa kufanya biashara yake .issue ya pricing kwenye mahoteli ni uamuzi binafsi wa hotel sio ya serikali
Anataka sifa tuu.Huyu naye anapenda ugomvi
ahaaaaa yaani rrondo nilijua tu lazima utoe madongo ya madanga humu yaani nilijua.Za madanga.....wavizia madanga utawaona humu.
Eeeeeeh ndo yeye.Huyu Rachel Temu Ndio Yule Mange Kimambi anamuitaga Rachel Miwaya?
Nasikia anasambaza bila huruma hasa kwa waume za watu!
hata kidogo .mange ana majanga yake ila yupo fresh kichwaniHuwezi mfananisha mange na recho bana
aisee rachel hana hata robo ya akili ya mange weeee futa kauliNaona kaachana na Singita Grumet kahamia Hyatt. Rachel nae kama Mange basi tu mmoja yuko bongo mwingine US ila akili moja hao mashoga wa zamani.
5* Hotels hazina wahasibu,HR,Chefs na watu wa calibre hio? Wapo ila unakuta wamejazwa wahindi,wakenya wabongo wanabaki kwenye uhudumu.Ni kweli je turudi Kwenye elimu Asilimia kubwa ya watanzania Kwenye 5 stars hotel wengi wao ni Wafanyakazi wa nafasi za kawaida. Serikali YETU yenyewe inadharau hii Sekta ukiachana na National college of tourism ambayo inatoa Mwisho diploma nitajie chuo kinachotoa degree ya hospitaly hapa Tanzania vitano tu?
Pili hii Kada inachukuliwa the last option kwa watanzania mtu akifeli anatupwa miezi 6 hotel management alafu unataka akachuane na wazungu mshahara be serious
Thank you for correction bro..Za madanga.....wavizia madanga utawaona humu.
Kupenda maugomvi. Sema Rachel ana matusi mazitooooooHuwezi mfananisha mange na recho bana
MscheewwZa madanga.....wavizia madanga utawaona humu.
achana nae huyo.nani anadanga hapa?Thank you for correction bro..
I'm out can't afford to be the target.
Hapendi kabisa tudange.ahaaaaa yaani rrondo nilijua tu lazima utoe madongo ya madanga humu yaani nilijua.