kelphin
JF-Expert Member
- Dec 24, 2019
- 9,872
- 16,319
KaribuAsante Sana kwa elimu kiongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KaribuAsante Sana kwa elimu kiongozi
Nitakuuliza swali jepesiUdongo
Umesema Udongo ni kipitishi kizuri cha umeme. Ukitumia tofali za kuchoma kama nyaya za umeme,taa itawaka?
Mfano ukaunganisha betri mbili na tofali moja la kuchoma kisha glopu ukakamilisha circuit,glopu itawaka? Circuit yenye glopu,waya,betri mbili. Ukaamua ufanye tofali kama betri la tatu. Umeme utapita na glopu kuwaka?
Umeweka ipi? Ina mudaa ganiI mean nimeweka mkuu,nachomaanisha sijaweka hiyo ya 6k
Sasa kwanini huo umeme unaozidi wakati wa radi, Tanesco wasiwe wanaucollect na kuutunza ukatumika kipindi cha mgao, kuliko kupotea ardhini.??Kwa kawaida kama ilivyo kwa binadamu, umeme unataka kupita katika njia fupi na rahisi kupitika. Umeme hupita katika njia iliyo rahisi kwake kurudi ardhini. Njia pekee inayotumiwa na umeme kurudi ardhini bila madhara yote ni kupitia katika waya ambao kwa lugha ya kiingereza unaitwa Earth Wire na kisha Earth Rod. Mchakato mzima wa kukamilisha ufanyaji kazi wa huu mfumo unaitwa Grounding. Ikiwa kutatokea tatizo katika waya unaobeba umeme baada ya matumizi(neutral wire), au tatizo lolote la kiufundi ambalo litasababisha ongezeko la ghafla la umeme kutokana na radi kwa mfano, basi earth wire itaubeba umeme huu wa ziada kwenda ardhini. Kwa muunganiko huu wa earth wire na earth rod, ardhi inafikika kirahisi sana na umeme. Maana yake ni kwamba mfumo huu wa grounding una wajibu wa kumlinda mtumiaji wa umeme inapotokea tatizo la umeme.
Ikiwa radi ingepiga katika nyumba yako ingeweza kusababisha hatari katika mfumo wako wa umeme na madhara mengine
Lakini kama mfumo huo umeunganishwa ipasavyo na mfumo wa earth(Grounding) kiasi chote cha umeme wenye madhara kwa mtumiaji au vifaa vya umeme kitaishia ardhini badala ya kuunguza kila kitu kilichounganishwa katika umeme kwa wakati huo au kumdhuru binadamu.
Sote tunafahamu kwamba ardhi ni kipitisha umeme kizuri kwa asili yake. Na kama nilivyosema awali umeme unapenda kupita katika njia rahisi na fupi, kwa hivyo ku-ground mfumo wako wa umeme ni kuufanya umeme wenye madhara kwako kupata mahali pa kupita kwa urahisi badala ya kwenda ardhini kupitia mwili wako. Hivyo kwa kifupi kabisa, Earthing au Grounding ni kuunganisha vifaa vyako vinavyotumia umeme katika ardhi ya dunia kwa kutumia waya(Earth wire) na fimbo(Earth rod) mara nyingi ya shaba ambayo huzikwa katika ardhi yenye unyevu wa kutosha.
Duniani hapa kila mtu ana mawazo mazuriSasa kwanini huo umeme unaozidi wakati wa radi, Tanesco wasiwe wanaucollect na kuutunza ukatumika kipindi cha mgao, kuliko kupotea ardhini.??
Uwe na utaratibu wa kuitazama mala kwa malaHata mwaka haina...ni makazi mapya
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Endeleeni kuweka vi earthlod vya 6000!
Ngoja ntamuuliza fundi vizuri ni ipi hasa aliweka maana kiukweli sikujibana na alikula hela nyingi so hapaswi kuwa aliweka ya mchongoyenyewe hata u
Kipitishi kizuri cha umeme. KIZURINitakuuliza swali jepesi
Ni kwanin ukiwa peku unapigwa short?