cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mapazia em niwachee, matako yalipuke afu mkunyenge niukose? Wee kuweza?Cheka tu
Ulipuke matak[emoji16][emoji16]
a
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee mapazia em niwachee, matako yalipuke afu mkunyenge niukose? Wee kuweza?Cheka tu
Ulipuke matak[emoji16][emoji16]
a
= earth rod.Endeleeni kuweka vi earthlod vya 6000!
Nowdays bomba linachimbiwa kwenye ukuta mpaka ardhini linafunikwa na plasta kulinda show ya nyumba ndio maana hauyaoni kwa nje kama zamani.Zamani walikua wana weka kabomba kana pita hadi chini ya ardhi tulikua una viita vya kukinga radi ..now days nyumba nyingi hawana sijui ndo technology
Nimesikitika sana baada ya kusoma comments za baadhi ya wadau wakisema Eti earth road inaokoa vifaa vya umeme visipigwe na Radi 😂, huu ni uongo wa Hali ya juu, kinachoweza kulindaa vifaa vyako dhiki ya Radi (lightning) ni Residual Current Circuit Breaker (RCCB) au Residual Current Device (RCD), hizi ni aina ya circuit breaker ambazo ikitokea Radi hujizima automatic, nunua RCCB kampuni ya EUROTRIX utakuja kunishukuru badae.Juzi mida ya asubuhi mvua ilinyesha Dar na around saa tatu hivi ikapiga radi moja kubwa sana kwa wanaokaa pande za goba, mbezi,tegeta A, Msumi, Makabe etc. wataelewa ninachosema.
Radi ambayo ilipelekea umeme kukatika kwa dakika chache tu ila tayari ilikua imeshafanya uharibifu kwenye vifaa vya umeme nikiwemo mimi na majirani kadhaa tuliounguliwa TV. Binafsi natumiaga fridge guard kwenye TV lakini ngoma haikusaidia sababu haikua low voltage.
Nimekaa Dar muda sijakutana na hali hii maana ilikua ni radi ya level ya zile konki za kanda ya kigoma, katavi na Rukwa.
Nimetoka dukani kwa mangi mitaa ya huku nimekuta jamaa wengine nao wanaongelea kuunguliwa TV sababu ya ile radi. Kuna muhanga mwingine humu?
Mkuu Rudi shule, hujajua kazi ya earthing system bado, kama hujui kitu bora unyamaze kuliko kutoa elimu ya uongo.Kwa kawaida kama ilivyo kwa binadamu, umeme unataka kupita katika njia fupi na rahisi kupitika. Umeme hupita katika njia iliyo rahisi kwake kurudi ardhini. Njia pekee inayotumiwa na umeme kurudi ardhini bila madhara yote ni kupitia katika waya ambao kwa lugha ya kiingereza unaitwa Earth Wire na kisha Earth Rod. Mchakato mzima wa kukamilisha ufanyaji kazi wa huu mfumo unaitwa Grounding.
Ikiwa kutatokea tatizo katika waya unaobeba umeme baada ya matumizi(neutral wire), au tatizo lolote la kiufundi ambalo litasababisha ongezeko la ghafla la umeme kutokana na radi kwa mfano, basi earth wire itaubeba umeme huu wa ziada kwenda ardhini. Kwa muunganiko huu wa earth wire na earth rod, ardhi inafikika kirahisi sana na umeme. Maana yake ni kwamba mfumo huu wa grounding una wajibu wa kumlinda mtumiaji wa umeme inapotokea tatizo la umeme.
Ikiwa radi ingepiga katika nyumba yako ingeweza kusababisha hatari katika mfumo wako wa umeme na madhara mengine.
Lakini kama mfumo huo umeunganishwa ipasavyo na mfumo wa earth(Grounding) kiasi chote cha umeme wenye madhara kwa mtumiaji au vifaa vya umeme kitaishia ardhini badala ya kuunguza kila kitu kilichounganishwa katika umeme kwa wakati huo au kumdhuru binadamu.
Sote tunafahamu kwamba ardhi ni kipitisha umeme kizuri kwa asili yake. Na kama nilivyosema awali umeme unapenda kupita katika njia rahisi na fupi, kwa hivyo ku-ground mfumo wako wa umeme ni kuufanya umeme wenye madhara kwako kupata mahali pa kupita kwa urahisi badala ya kwenda ardhini kupitia mwili wako. Hivyo kwa kifupi kabisa, Earthing au Grounding ni kuunganisha vifaa vyako vinavyotumia umeme katika ardhi ya dunia kwa kutumia waya(Earth wire) na fimbo(Earth rod) mara nyingi ya shaba ambayo huzikwa katika ardhi yenye unyevu wa kutosha.
Zilikua zinakunjika lakini sio sasa, nakuthibitishia bado zinakunjika vizuriBado hiyo ni copper plated sio kama ile ya 80k na uthibitisho ni katika kuikunja,pure cooper hukunjika kirahisi.Kipindi cha nyuma hizo za 40k zilikuwa zinakunjika lakini sio sasa pia kuwa plated kunaweza kusifanye mvutano na sumaku kipimo kinachodanganya wengi.Bora hata iwe aluminium kuliko hiyo cooper plated.
Hoja kwa hoja, tuepuke kashfa kiongozi wangu, tuko hapa kujifunza. Hebu mkosoe huyu kiongozi kwa hoja ili na Mimi nielimike kupitia Hilo.Mkuu Rudi shule, hujajua kazi ya earthing system bado, kama hujui kitu bora unyamaze kuliko kutoa elimu ya uongo.
Haya toa wewe iyo elimu nijifunzeMkuu Rudi shule, hujajua kazi ya earthing system bado, kama hujui kitu bora unyamaze kuliko kutoa elimu ya uongo.
🙏Hoja kwa hoja, tuepuke kashfa kiongozi wangu, tuko hapa kujifunza. Hebu mkosoe huyu kiongozi kwa hoja ili na Mimi nielimike kupitia Hilo.
Kukosea kuandika sio ujinga ni makosa ya uandishi= earth rod.
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
NdioHoja kwa hoja, tuepuke kashfa kiongozi wangu, tuko hapa kujifunza. Hebu mkosoe huyu kiongozi kwa hoja ili na Mimi nielimike kupitia Hilo.
Kifaa kinacholinda mfumo wako wa umeme dhidi ya Radi ni aina hizi mbili za circuit breakerHaya toa wewe iyo elimu nijifunze
Nko hapa nakusikiliza mkuu
Mkuu uko sahihi 100Kifaa kinacholinda mfumo wako wa umeme dhidi ya Radi ni aina hizi mbili za circuit breaker
1. Residual Current Circuit Breaker (RCCB)
2. Residual Current Device (RCD)
Radi (lightning) inapopiga circuit breaker hizi hu trip (huzima mfumo wote wa umeme), hivi ndio inavyolinda sakiti yako.
Note; binafsi naikubali RCCB kampuni ya EUROTRIX.
Kazi ya earthing system ni;
1. Kumlinda mtu asipigwe na shock ya umeme.
Mfano. Waya wenye umeme (live wire) unapogusa bati la friji, maana ake mtu akigusa lile bati la friji atapigwa na shock ya umeme, badala yake sasa endapo mfumo wako ukiwa na earthing basi umeme wote uliovuja kwenye bati la friji hupelekwa chini ya ardhi, hivyo basi hata mtu akigusa lile bati hatapigwa na shock ya umeme kwa maana umeme tayari unaelekea chini.
2. Kulinda kifaa kisiungue dhidi ya umeme unaovuja.
Mfano. Kama umeme utavuja, yaani waya ukagusa bati la friji kama hujafanya earthing kwenye sakiti yako basi kuna uwezekano wa friji lako kuungua endapo waya mwingine wenye potential tofauti ukagusa bati hilo la friji, endapo utafanya earthing basi umeme wote hupelekwa chini na friji lako litabaki salama.
Note; Earthing system hailindi kifaa dhidi ya Radi (lightning)
pole ila huo ndio mwanzo tu itaungua hadi nyumba kwa ubahili wa kuweka vitu vya bei nafuuJuzi mida ya asubuhi mvua ilinyesha Dar na around saa tatu hivi ikapiga radi moja kubwa sana kwa wanaokaa pande za goba, mbezi,tegeta A, Msumi, Makabe etc. wataelewa ninachosema.
Radi ambayo ilipelekea umeme kukatika kwa dakika chache tu ila tayari ilikua imeshafanya uharibifu kwenye vifaa vya umeme nikiwemo mimi na majirani kadhaa tuliounguliwa TV. Binafsi natumiaga fridge guard kwenye TV lakini ngoma haikusaidia sababu haikua low voltage.
Nimekaa Dar muda sijakutana na hali hii maana ilikua ni radi ya level ya zile konki za kanda ya kigoma, katavi na Rukwa.
Nimetoka dukani kwa mangi mitaa ya huku nimekuta jamaa wengine nao wanaongelea kuunguliwa TV sababu ya ile radi. Kuna muhanga mwingine humu?
Uko sahihi MkuuMkuu uko sahihi 100
Ila kuna some additional unatakiwa kuzijua pia
Umeme wa radi ni kama maji yaliyomwagwa aridhini
Hayana uelekeo
Umeme una kiwango chake kikizidi ndipo cct breaker inafyatuka
Ikiwa haitafyatuka itaunguza vitu
Ikiwa mfumo wa earth uko sawa umeme huo utaenda aridhini pengine bila ya kuzima cct au bila ya kuunguza vitu
Thus baadhi ya nyumba watu hu link ma paa yao na mfumo wa earth