Radi iliyopiga juzi Dar imeacha hasara ya kutosha

Nitakuuliza swali jepesi
Ni kwanin ukiwa peku unapigwa short?
 
Sasa kwanini huo umeme unaozidi wakati wa radi, Tanesco wasiwe wanaucollect na kuutunza ukatumika kipindi cha mgao, kuliko kupotea ardhini.??
 
Sasa kwanini huo umeme unaozidi wakati wa radi, Tanesco wasiwe wanaucollect na kuutunza ukatumika kipindi cha mgao, kuliko kupotea ardhini.??
Duniani hapa kila mtu ana mawazo mazuri

Shida sio kuwaza
Shida ni kugeuza wazo kwenda kwenye uharisia ndio kasheshe

Nijuavyo mimi umeme w radi huna specific area ya kusema utapiga hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…