Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
- Thread starter
- #101
Hamna tego hapo mjomba, labda msuguano ulikuwa mkubwa ukatengeneza free electrons, zikatafuta pakutokea zikapata njia ya radi, maana wanasema papuchi imetandikwa vibaya mnooHilo tego bila shaka. Radi haipigi mtu kizembe