Ushahidi si upo!!!Mganga kutoka Singida anakuletea tego la radi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushahidi si upo!!!Mganga kutoka Singida anakuletea tego la radi
Mke kafia kwenye umalaya yani huo msiba naomba tu uende uishe kmmmk wala hata siwazi!Pigo la ghafla kwa kufiwa na mkewe au pigo la ghafla kwa mkewe kuzini!?
Hilo tego bila shaka. Radi haipigi mtu kizembeMganga kutoka Singida anakuletea tego la radi
Nyumba iliyojegwa lakini haijaishaPagale ni nini!!
Mmmh
Alikua chooni anachekaHalafu aliyetombewa nae anajifanya kusikitika..
Asepe wakati radi imepiga miguuJamaa naye alipiga yowe la nini? Angesepa kimya kimya
Nyumba iliyojegwa lakini haijaisha
Hawa ilipaswa waoane wenyeweMume wa mtu na mke wa mtu..kwenye pagale..uroho mwingine hapana kwa kweli
Singida mkuuKwa wanaojiuliza ni wapi huko... Itakua ni kanda ya Ziwa mpaka itakapobainika sio 🤣🤣
Wataaalam wa hizi kaziKifo cha mende kwenye pagale?? Hapo marehemu alishikishwa ukuta tu, jamaa alikua anapiga from behind
Atoke hapo ili aje kupambana na kesi ya mauaji? Bora hivyo ili mshitakiwa wa kwanza awe ni RADIShuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.
Niliquote hapa mkuu, ilitakiwa hata atambae atoke eneo la tukio, ukiwa na ushujaa wa kutafuna vya watu uwe na ushujaa mwingine pia, siyo unapiga mayowe hovyohovyo
Kwa mazingira ya radi mwanamke alikuwa juu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣 hivi Nani alikuwa Juu Kati yao observation point
Hapo mume wa MTU Ndio sumu.Dah mke
Dah mke wa mtu ni sumu
Mwigulu Nchemba pole kwa kuondokewa na mpiga kura wako.Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Nkungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu lakini baadaye limeanza kuzungumzwa huku ndugu wakikiri kutokea tukio hilo.
“Tukio lipo na tumeshamzika lakini uliza viongozi watakuambia, na hadi sasa mwanaume aiyekuwa na marehemu bado anaugulia maumivu kwani alijeruhiwa vibaya miguuni na radi hiyo,” alisema shuhuda wa tukio hilo.
Inadaiwa siku ya tukio hilo, Vaileth alikuwa na mpenzi wake Hassan Nzige na wakati wanafikwa na majanga hayo kwenye pagale walikuwa wakiendelea kufanya mapenzi.
Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.
Baadhi ya wanakijiji wa Masweya walimchukua Nzige aliyejeruhiwa miguu yake na kumkimbizwa zahanati ya Ndulungu, kwa matibabu ambapo inadaiwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri.
Mwenyekiti wa Kijiji Masweya, Saidi Hongoa amekiri kuwa tukio hilo lilitokea Novemba 23, 2021 jioni muda mfupi kabla mvua haijaanza kunyesha.
“Radi ilipiga kabla mvua kuanza kunyesha, wakati huo wapendanao hao wakiwa kazini (wakifanya mapenzi) na wote wawili walikimbizwa katika zahanati ya kijiji cha Ndurungu wakati mwanamke akiwa ameunguzwa vibaya shingoni na mgongoni na mwanaume alikuwa ameunguzwa miguuni, lakini walipofikishwa waliambiwa mwanamke alikuwa amepoteza maisha tayari”, amesema Hongoa.
Amesema baada ya kutokea kwa tukio hilo, juhudi zilifanyika katika kumjulisha mume wake marehemu Violeth, Manase Nkungu aliyekuwa mbali na eneo hilo lakini aliposikia alilipokea kwa masikitiko.
Diwani wa kata ya Ndulungu, Theresia Daudi amsema kuna kila dalili kwamba marehemu Vailenth alifariki papohapo kwa vile aliunguzwa sehemu nyeti za mwili wake japo ni vigumu kueleza.
Mume wa marehemu, Manase Nkungu akiwa na masikitiko amesema hakutegemea kuwa angepata pigo kubwa la ghafla namna hiyo katika kipindi ambacho alimwamini mkewe.
Mwananchi
Nyege ni mbaya sana.Mume wa mtu na mke wa mtu..kwenye pagale..uroho mwingine hapana kwa kweli
Kitu cha cowgirl style kimemponzaInaonekana mwanamke alikuwa juu
Una akili sana ChiefAtoke hapo ili aje kupambana na kesi ya mauaji? Bora hivyo ili mshitakiwa wa kwanza awe ni RADI
Hawakutandika insullator ardhini?“Tukio lipo na tumeshamzika lakini uliza viongozi watakuambia, na hadi sasa mwanaume aiyekuwa na marehemu bado anaugulia maumivu kwani alijeruhiwa vibaya miguuni na radi hiyo,” alisema shuhuda wa tukio hilo.