Naipendatz
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 5,096
- 8,234
- Thread starter
- #41
Kwenye pagale mkuu mpige cowgirl?Cowgirl position, sivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye pagale mkuu mpige cowgirl?Cowgirl position, sivyo?
Ukila Ukishiba Baadaye Nguvu Tele Za KunyongaHakika
Kifo cha mende kwenye pagale?? Hapo marehemu alishikishwa ukuta tu, jamaa alikua anapiga from behindMay be reverse cowgirl hahaha, au kichuma mboga!! Ila kwa uzoefu wangu kwenye pagale hakunaga mbwembwe, ni kifo cha mende cha fastaa
Unafikir basi binadamu anafunzikaga. Kila mchuma janga hula.na.wakwao na kusikia kwa kenge mpaka damu imtoke masikioni..zinaa haina masikioHili nalo funzo kwetu tuliobaki. Pole kwa wenza marehemu na mjeruhiwa
Japo majaribu yapo tumwombe Mungu atusaidie tuikimbie tuu kwa nguvu zake
Kijijini wanajuaga mambo ya kushikishana ukuta Chief?Kifo cha mende kwenye pagale?? Hapo marehemu alishikishwa ukuta tu, jamaa alikua anapiga from behind
Hii ndo style ya fasta kwenye mazingira kama hayo, mapagale mengi yanakuaga hayajawekwa hata jamvi unakutakuna majani kama kichaka..sasa kwa mazingira hayo kulazana kifo cha mende mnaanzaje?Kijijini wanajuaga mambo ya kushikishana ukuta Chief?
Dah mke wa mtu ni sumuMkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu lakini baadaye limeanza kuzungumzwa huku ndugu wakikiri kutokea tukio hilo.
“Tukio lipo na tumeshamzika lakini uliza viongozi watakuambia, na hadi sasa mwanaume aiyekuwa na marehemu bado anaugulia maumivu kwani alijeruhiwa vibaya miguuni na radi hiyo,” alisema shuhuda wa tukio hilo.
Inadaiwa siku ya tukio hilo, Vaileth alikuwa na mpenzi wake Hassan Nzige na wakati wanafikwa na majanga hayo kwenye pagale walikuwa wakiendelea kufanya mapenzi.
Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.
Baadhi ya wanakijiji wa Masweya walimchukua Nzige aliyejeruhiwa miguu yake na kumkimbizwa zahanati ya Ndulungu, kwa matibabu ambapo inadaiwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri.
Mwenyekiti wa Kijiji Masweya, Saidi Hongoa amekiri kuwa tukio hilo lilitokea Novemba 23, 2021 jioni muda mfupi kabla mvua haijaanza kunyesha.
“Radi ilipiga kabla mvua kuanza kunyesha, wakati huo wapendanao hao wakiwa kazini (wakifanya mapenzi) na wote wawili walikimbizwa katika zahanati ya kijiji cha Ndurungu wakati mwanamke akiwa ameunguzwa vibaya shingoni na mgongoni na mwanaume alikuwa ameunguzwa miguuni, lakini walipofikishwa waliambiwa mwanamke alikuwa amepoteza maisha tayari”, amesema Hongoa.
Amesema baada ya kutokea kwa tukio hilo, juhudi zilifanyika katika kumjulisha mume wake marehemu Violeth, Manase Nkungu aliyekuwa mbali na eneo hilo lakini aliposikia alilipokea kwa masikitiko.
Diwani wa kata ya Ndurungu, Theresia Daudi amsema kuna kila dalili kwamba marehemu Vailenth alifariki papohapo kwa vile aliunguzwa sehemu nyeti za mwili wake japo ni vigumu kueleza.
Mume wa marehemu, Manase Nkungu akiwa na masikitiko amesema hakutegemea kuwa angepata pigo kubwa la ghafla namna hiyo katika kipindi ambacho alimwamini mkewe.
Mwananchi
Mkuu kumbe haujaisoma habari mpaka mwisho hii!Jamaa naye alipiga yowe la nini? Angesepa kimya kimya
Nyie ndio mnafanya bangi ipigwe marufuku!Sintosahau siku niliyoshuhudia radi ikipigana na kondoo, kondoo mwacheni maana ile radi ilipigwa kichwa cha tumbo ililia kama mtoto mbuzi meee ikakimbia huku inachechemea moral of the story mkitaka kupandana kwenye mapagale nendeni na kondoo wakuwalinda
Kilichobeba uzito hapa si radi kuua bali wazinifu waliopigwa radi wakizini.Natural disaster hiyo hakuna cha mke wa mtu.
Wewe umechora tukio kwa uhakika kabisa kutokana na simulizi jinsi radi ilivyopiga.Kifo cha mende kwenye pagale?? Hapo marehemu alishikishwa ukuta tu, jamaa alikua anapiga from behind
Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.
Alishindwa kusimama mwenyewe kwa ajili ya maumivu.Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.
Niliquote hapa mkuu, ilitakiwa hata atambae atoke eneo la tukio, ukiwa na ushujaa wa kutafuna vya watu uwe na ushujaa mwingine pia, siyo unapiga mayowe hovyohovyo