Radi yapiga wapenzi wakizini

Radi yapiga wapenzi wakizini

Pigo la ghafla kwa kufiwa na mkewe au pigo la ghafla kwa mkewe kuzini!?
 
May be reverse cowgirl hahaha, au kichuma mboga!! Ila kwa uzoefu wangu kwenye pagale hakunaga mbwembwe, ni kifo cha mende cha fastaa
Kifo cha mende kwenye pagale?? Hapo marehemu alishikishwa ukuta tu, jamaa alikua anapiga from behind
 
Hili nalo funzo kwetu tuliobaki. Pole kwa wenza marehemu na mjeruhiwa
Japo majaribu yapo tumwombe Mungu atusaidie tuikimbie tuu kwa nguvu zake
Unafikir basi binadamu anafunzikaga. Kila mchuma janga hula.na.wakwao na kusikia kwa kenge mpaka damu imtoke masikioni..zinaa haina masikio

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Kifo cha mende kwenye pagale?? Hapo marehemu alishikishwa ukuta tu, jamaa alikua anapiga from behind
Kijijini wanajuaga mambo ya kushikishana ukuta Chief?
 
Hii ndo style ya fasta kwenye mazingira kama hayo, mapagale mengi yanakuaga hayajawekwa hata jamvi unakutakuna majani kama kichaka..sasa kwa mazingira hayo kulazana kifo cha mende mnaanzaje?

Halafu kushikisha ukuta sijamaanisha mpalangeni chief [emoji2], Inaliwa mbususu japo kwa kushika ukuta.
 
Dah mke
Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.

Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu lakini baadaye limeanza kuzungumzwa huku ndugu wakikiri kutokea tukio hilo.

“Tukio lipo na tumeshamzika lakini uliza viongozi watakuambia, na hadi sasa mwanaume aiyekuwa na marehemu bado anaugulia maumivu kwani alijeruhiwa vibaya miguuni na radi hiyo,” alisema shuhuda wa tukio hilo.

Inadaiwa siku ya tukio hilo, Vaileth alikuwa na mpenzi wake Hassan Nzige na wakati wanafikwa na majanga hayo kwenye pagale walikuwa wakiendelea kufanya mapenzi.

Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.

Baadhi ya wanakijiji wa Masweya walimchukua Nzige aliyejeruhiwa miguu yake na kumkimbizwa zahanati ya Ndulungu, kwa matibabu ambapo inadaiwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri.
Mwenyekiti wa Kijiji Masweya, Saidi Hongoa amekiri kuwa tukio hilo lilitokea Novemba 23, 2021 jioni muda mfupi kabla mvua haijaanza kunyesha.

“Radi ilipiga kabla mvua kuanza kunyesha, wakati huo wapendanao hao wakiwa kazini (wakifanya mapenzi) na wote wawili walikimbizwa katika zahanati ya kijiji cha Ndurungu wakati mwanamke akiwa ameunguzwa vibaya shingoni na mgongoni na mwanaume alikuwa ameunguzwa miguuni, lakini walipofikishwa waliambiwa mwanamke alikuwa amepoteza maisha tayari”, amesema Hongoa.

Amesema baada ya kutokea kwa tukio hilo, juhudi zilifanyika katika kumjulisha mume wake marehemu Violeth, Manase Nkungu aliyekuwa mbali na eneo hilo lakini aliposikia alilipokea kwa masikitiko.

Diwani wa kata ya Ndurungu, Theresia Daudi amsema kuna kila dalili kwamba marehemu Vailenth alifariki papohapo kwa vile aliunguzwa sehemu nyeti za mwili wake japo ni vigumu kueleza.

Mume wa marehemu, Manase Nkungu akiwa na masikitiko amesema hakutegemea kuwa angepata pigo kubwa la ghafla namna hiyo katika kipindi ambacho alimwamini mkewe.

Mwananchi
Dah mke wa mtu ni sumu
 
Huyo mume wa marehemu akija Dar na kujitangaza kwamba Ni mganga, wanawake wa Dar watamtajirisha.
 
Sintosahau siku niliyoshuhudia radi ikipigana na kondoo, kondoo mwacheni maana ile radi ilipigwa kichwa cha tumbo ililia kama mtoto mbuzi meee ikakimbia huku inachechemea moral of the story mkitaka kupandana kwenye mapagale nendeni na kondoo wakuwalinda
 
Nyie ndio mnafanya bangi ipigwe marufuku!
 
Natural disaster hiyo hakuna cha mke wa mtu.
Kilichobeba uzito hapa si radi kuua bali wazinifu waliopigwa radi wakizini.

Hapo lazima tuamini uwepo wa Mungu, kuaibisha walipokuwa wakitenda dhambi!

Haikusubiri wamalize iwafyeke, maana hapo wangejibaraguza hawajafanya wala hawapendi mambo hayo.

Sasa imepiga kukamatisha kidhibiti!

Wengi ilishawatokea hii, presha kupanda juu ya kinena na kukatia hapo roho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kifo cha mende kwenye pagale?? Hapo marehemu alishikishwa ukuta tu, jamaa alikua anapiga from behind
Wewe umechora tukio kwa uhakika kabisa kutokana na simulizi jinsi radi ilivyopiga.

Mwanaume alipigwa miguuni akaachia akajiteneka na hakuweza tena kunyenyuka.

Wakati inapanda ndiyo ikapitia mazagazaga ya mama na kwenda kumkata ahingo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kumbe haujaisoma habari mpaka mwisho hii!

Sent using Jamii Forums mobile app
Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.

Niliquote hapa mkuu, ilitakiwa hata atambae atoke eneo la tukio, ukiwa na ushujaa wa kutafuna vya watu uwe na ushujaa mwingine pia, siyo unapiga mayowe hovyohovyo
 
Alishindwa kusimama mwenyewe kwa ajili ya maumivu.

Ni sawa na kupata ajali mfano ya gari na kushindwa hata kujisogeza bila msaada wa wasamaria.

Ujanja njanja wa kukwepa adha ama aibu hakuwa nao ndiyo maana akaamua kujisalimisha kwa kupiga yowe ili liwalo na liwe kuokoa roho yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.

Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu lakini baadaye limeanza kuzungumzwa huku ndugu wakikiri kutokea tukio hilo.

“Tukio lipo na tumeshamzika lakini uliza viongozi watakuambia, na hadi sasa mwanaume aiyekuwa na marehemu bado anaugulia maumivu kwani alijeruhiwa vibaya miguuni na radi hiyo,” alisema shuhuda wa tukio hilo.

Inadaiwa siku ya tukio hilo, Vaileth alikuwa na mpenzi wake Hassan Nzige na wakati wanafikwa na majanga hayo kwenye pagale walikuwa wakiendelea kufanya mapenzi.

Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.

Baadhi ya wanakijiji wa Masweya walimchukua Nzige aliyejeruhiwa miguu yake na kumkimbizwa zahanati ya Ndulungu, kwa matibabu ambapo inadaiwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri.
Mwenyekiti wa Kijiji Masweya, Saidi Hongoa amekiri kuwa tukio hilo lilitokea Novemba 23, 2021 jioni muda mfupi kabla mvua haijaanza kunyesha.

“Radi ilipiga kabla mvua kuanza kunyesha, wakati huo wapendanao hao wakiwa kazini (wakifanya mapenzi) na wote wawili walikimbizwa katika zahanati ya kijiji cha Ndurungu wakati mwanamke akiwa ameunguzwa vibaya shingoni na mgongoni na mwanaume alikuwa ameunguzwa miguuni, lakini walipofikishwa waliambiwa mwanamke alikuwa amepoteza maisha tayari”, amesema Hongoa.

Amesema baada ya kutokea kwa tukio hilo, juhudi zilifanyika katika kumjulisha mume wake marehemu Violeth, Manase Nkungu aliyekuwa mbali na eneo hilo lakini aliposikia alilipokea kwa masikitiko.

Diwani wa kata ya Ndurungu, Theresia Daudi amsema kuna kila dalili kwamba marehemu Vailenth alifariki papohapo kwa vile aliunguzwa sehemu nyeti za mwili wake japo ni vigumu kueleza.

Mume wa marehemu, Manase Nkungu akiwa na masikitiko amesema hakutegemea kuwa angepata pigo kubwa la ghafla namna hiyo katika kipindi ambacho alimwamini mkewe.

Chanzo: mwananchi_official

Wanawake ( Dada zetu ) mnaopenda 'Kutiana' na Waume za Watu jitahidini Kwanza muwe mnaulizia Historia za Wake zao kwani kuna wengine Wake zao ni Waganga na Vigagula 'Waandamizi' hivyo Tamaa zenu zitakuja kuwatokeeni puani kama huyu Mwenzenu.

Habari zilizonofikia tu hivi punde ni kwamba Mganga huyu huyu aliyeileta Radi iliyomuadabisha kwa 'Kumuua' Mwizi wa Mume wa Mtu ndiyo ametumika 'Kuirogea' Simba SC ili Jumamosi iifunge Yanga SC katika Kariakoo Derby yao.

Na Radi imeshasetiwa vizuri tu Kuondoka ( Kuwafyeka ) akina Yanick Bangala, Feisal Salum Fei Toto na Khalid Aucho hivyo Yanga SC kama wanapenda Uhai wa hawa Wachezaji wao 'tegemezi' na wanawaonea Huruma GENTAMYCINE nashauri wasithubutu Kuwapanga.
 
Back
Top Bottom