Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mganga kutoka Singida anakuletea tego la radiHuyo mume wa marehemu akija Dar na kujitangaza kwamba Ni mganga, wanawake wa Dar watamtajirisha.
Umemaliza vibaya Sana mkuuMkazi wa Kijiji cha Masweya Kata ya Mtunduru Wilaya ya Ikungi, Vaileth Hassan Mtipa (32) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa wanazini na mume wa mtu kwenye pagale la nyumba.
Tukio hilo ambalo linadaiwa kughubwikwa na usiri tangu lilipotokea mwishoni mwa mwezi Novemba mwaka huu lakini baadaye limeanza kuzungumzwa huku ndugu wakikiri kutokea tukio hilo.
“Tukio lipo na tumeshamzika lakini uliza viongozi watakuambia, na hadi sasa mwanaume aiyekuwa na marehemu bado anaugulia maumivu kwani alijeruhiwa vibaya miguuni na radi hiyo,” alisema shuhuda wa tukio hilo.
Inadaiwa siku ya tukio hilo, Vaileth alikuwa na mpenzi wake Hassan Nzige na wakati wanafikwa na majanga hayo kwenye pagale walikuwa wakiendelea kufanya mapenzi.
Shuhuda anaeleza kuwa baada ya kupatwa na mkasa huo, Nzige alishindwa kusimama ndipo akaanza kupiga yowe kwa nguvu kwa ajili ya kuomba msaada ndipo watu wakamkuta akiwa hajiwezi wakati mwenzake akiwa amepoteza maisha tayari.
Baadhi ya wanakijiji wa Masweya walimchukua Nzige aliyejeruhiwa miguu yake na kumkimbizwa zahanati ya Ndulungu, kwa matibabu ambapo inadaiwa kuwa kwa sasa anaendelea vizuri.
Mwenyekiti wa Kijiji Masweya, Saidi Hongoa amekiri kuwa tukio hilo lilitokea Novemba 23, 2021 jioni muda mfupi kabla mvua haijaanza kunyesha.
“Radi ilipiga kabla mvua kuanza kunyesha, wakati huo wapendanao hao wakiwa kazini (wakifanya mapenzi) na wote wawili walikimbizwa katika zahanati ya kijiji cha Ndurungu wakati mwanamke akiwa ameunguzwa vibaya shingoni na mgongoni na mwanaume alikuwa ameunguzwa miguuni, lakini walipofikishwa waliambiwa mwanamke alikuwa amepoteza maisha tayari”, amesema Hongoa.
Amesema baada ya kutokea kwa tukio hilo, juhudi zilifanyika katika kumjulisha mume wake marehemu Violeth, Manase Nkungu aliyekuwa mbali na eneo hilo lakini aliposikia alilipokea kwa masikitiko.
Diwani wa kata ya Ndurungu, Theresia Daudi amsema kuna kila dalili kwamba marehemu Vailenth alifariki papohapo kwa vile aliunguzwa sehemu nyeti za mwili wake japo ni vigumu kueleza.
Mume wa marehemu, Manase Nkungu akiwa na masikitiko amesema hakutegemea kuwa angepata pigo kubwa la ghafla namna hiyo katika kipindi ambacho alimwamini mkewe.
Chanzo: mwananchi_official
Wanawake ( Dada zetu ) mnaopenda 'Kutiana' na Waume za Watu jitahidini Kwanza muwe mnaulizia Historia za Wake zao kwani kuna wengine Wake zao ni Waganga na Vigagula 'Waandamizi' hivyo Tamaa zenu zitakuja kuwatokeeni puani kama huyu Mwenzenu.
Habari zilizonofikia tu hivi punde ni kwamba Mganga huyu huyu aliyeileta Radi iliyomuadabisha kwa 'Kumuua' Mwizi wa Mume wa Mtu ndiyo ametumika 'Kuirogea' Simba SC ili Jumamosi iifunge Yanga SC katika Kariakoo Derby yao.
Na Radi imeshasetiwa vizuri tu Kuondoka ( Kuwafyeka ) akina Yanick Bangala, Feisal Salum Fei Toto na Khalid Aucho hivyo Yanga SC kama wanapenda Uhai wa hawa Wachezaji wao 'tegemezi' na wanawaonea Huruma GENTAMYCINE nashauri wasithubutu Kuwapanga.
Maumivu makali ya kuchomwa na radiJamaa naye alipiga yowe la nini? Angesepa kimya kimya
Walikua style ya popo kanyea mbinguMkuu, walikua staili gani hiyo hadi radi iue Mwanamke tu na kumuacha Mwanaume (Mwizi)?
Dah huyu jamaa muongo eti radi ililia kama mbuzi mee.Sintosahau siku niliyoshuhudia radi ikipigana na kondoo, kondoo mwacheni maana ile radi ilipigwa kichwa cha tumbo ililia kama mtoto mbuzi meee ikakimbia huku inachechemea moral of the story mkitaka kupandana kwenye mapagale nendeni na kondoo wakuwalinda
Sasa ikungi ndo naelewa kwann Lisu alipona lisasi Kama ndo uchawi wenyewe huo!!Du aisee hii noma sana. ngoja tuendelee kudumbukiza tu
Nzige akome kabisaHalafu aliyetombewa nae anajifanya kusikitika..
Akina Violeth hawawashindi wenye Majina ya Rhoda, Lucy na Jackyline kwa Dhambi hiyo.Ila haya majina ya Violeth kwann wanapenda Sana wanaume za watu...
Nawafahamu Violeth wawili ambao nao pia wametembea na wanaume wenye ndoa ...Violeth mmoja alikwapua mume wa mtu yule demu alikuwa anazimia pasipo kutarajiwa Mara kadhaa
As niliposoma na ka habar haka nime generalize
Kuna Mke wa Mtu nilipanga 'Kutiana' nae leo Siku ya Uhuru, ila nilivyosoma tu hii Taarifa nimeogopa na Kusitisha zoezi hilo la Dhambi kwani nimeogopa mwenye Mume asije nae akaniletea Adhabu nyingine na GENTAMYCINE nikawa Historia duniani na hapa JamiiForums.radi hiyo ina connection kama sio ya mumu mtu basi ya mke wa jamaa sikuhizi ni vizuri kujiwekea ka ulinzi, mshahara wa dhambi ni mauti, Mungu atuepushe na hizi balaa tuache uzinzi ni dhambi.