Radi yaua watoto wawili wa familia moja Handeni

Radi yaua watoto wawili wa familia moja Handeni

Zinasaidia sana , Ila mara nyingi uwekwe ghorofani , kwenye nyumba za kawaida kuwekwa sio sana ( hasa vijijini) kwa kuwa watu wengi hawana elimu husika , kingine vijijini miti mibichi mirefu ni mingi yaani nyumba ni fupi kuliko miti , hivyo radi ikija ufika Kwanza kwenye miti kabla ya nyumba
Hiyo nyumba basi ilikuwa ndefu sana
 
Zinasaidia sana , Ila mara nyingi uwekwe ghorofani , kwenye nyumba za kawaida kuwekwa sio sana ( hasa vijijini) kwa kuwa watu wengi hawana elimu husika , kingine vijijini miti mibichi mirefu ni mingi yaani nyumba ni fupi kuliko miti , hivyo radi ikija ufika Kwanza kwenye miti kabla ya nyumba
Aisee kwahiyo miti mrefu ni muhimu kuwa nayo karibu na nyumba eeh. Thank you kwa ufafanuzi
 
Kingine radi uwambatana na sauti , yaani mwanga na sauti , kwa kuwa mwanga ( light) Una speed kubwa kuliko sauti , mwanga uunza kutokea kabla ya sauti ( radi) , huu mwanga ( lighting) ndio hatari zaidi kuliko hiyo sauti , lighting ndio usababisha madhara , Ila watu wengi uogopa sauti
Ni kweli hata mimi ule muungurumo wa radi ndiyo nauogopa zaidi ! Sitosahau siku radi iliavoupiga mti wa maparachichi mkubwa ila kufumba na kufumbua ulibaki mkavu kiasi unaweza chukua kuni na ukapikia papo hapo! Niliwaza hivi ingefikia kwenye nyumba za watu si ndiyo inakausha wote dah🤔🤔
 
Aisee kumbe sasa inabidi iwe umbali gani? Mbona iko complicated hii radi jamani 😒
Radi ikiwa kubwa huwa na tabia ya kugawanyika kutafuta sehemu ya kumalizia nguvu zake

Mfano wake ni kama hii picha
images (14).jpeg

Ukiangalia hapo utaona huo mwanga mkubwa umegawanyika kutokeza mianga miwili iliyogonga sehemu mbili tofauti karibukaribu.
Sasa kama karibu na nyumba yako kuna mti mrefu alafu na radi ikawa kubwa zaidi, italazimu radi hiyo ijigawe moja ikilenga mti na ya pili ikilenga nyumba.

Cha muhimu kama kijiographia unaishi maeneo yenye radi sana ni vyema nyumba yako iwe na viongoza radi ili kuepusha madhara
 
Radi ni umeme wenye nguvu sana , ikija inatafuta conductor ( kupitisha umeme ) ,ili ipitie hapo , ndio maana nyumba nyingi uwekwe steel rod kulichojitokeza juu ya Bati ili iweze kupitia humo , wanyama na miti mibichi upitisha umeme ndio maana ufuatwa na radi iwapo chenyewe kirefu kwenye maeneo hayo, radi nyingine uwa za kishirikiana lakini ( Kama wasemavyo baadhi ya watu )

Radi imefuata watoto wadogo ndani ya nyumba moja.

Nyumba ngapi karibu hapo zilikuwa na watu wazima warefu kuliko hawa marehemu? Au hata kulikuwa na warefu wangapi kuliko hawa watoto ndani ya nyumba hii au kwenye mazingira ya karibu nao?

Hiiiiii bagosha!
 
Ni kweli hata mimi ule muungurumo wa radi ndiyo nauogopa zaidi ! Sitosahau siku radi iliavoupiga mti wa maparachichi mkubwa ila kufumba na kufumbua ulibaki mkavu kiasi unaweza chukua kuni na ukapikia papo hapo! Niliwaza hivi ingefikia kwenye nyumba za watu si ndiyo inakausha wote dah🤔🤔
Yes unastua sana, ni ngumu kuuvumilia
 
Back
Top Bottom