Radi yaua watoto wawili wa familia moja Handeni

Hiyo nyumba basi ilikuwa ndefu sana
 
Aisee kwahiyo miti mrefu ni muhimu kuwa nayo karibu na nyumba eeh. Thank you kwa ufafanuzi
 
Ni kweli hata mimi ule muungurumo wa radi ndiyo nauogopa zaidi ! Sitosahau siku radi iliavoupiga mti wa maparachichi mkubwa ila kufumba na kufumbua ulibaki mkavu kiasi unaweza chukua kuni na ukapikia papo hapo! Niliwaza hivi ingefikia kwenye nyumba za watu si ndiyo inakausha wote dah🤔🤔
 
Aisee kumbe sasa inabidi iwe umbali gani? Mbona iko complicated hii radi jamani 😒
Radi ikiwa kubwa huwa na tabia ya kugawanyika kutafuta sehemu ya kumalizia nguvu zake

Mfano wake ni kama hii picha


Ukiangalia hapo utaona huo mwanga mkubwa umegawanyika kutokeza mianga miwili iliyogonga sehemu mbili tofauti karibukaribu.
Sasa kama karibu na nyumba yako kuna mti mrefu alafu na radi ikawa kubwa zaidi, italazimu radi hiyo ijigawe moja ikilenga mti na ya pili ikilenga nyumba.

Cha muhimu kama kijiographia unaishi maeneo yenye radi sana ni vyema nyumba yako iwe na viongoza radi ili kuepusha madhara
 

Radi imefuata watoto wadogo ndani ya nyumba moja.

Nyumba ngapi karibu hapo zilikuwa na watu wazima warefu kuliko hawa marehemu? Au hata kulikuwa na warefu wangapi kuliko hawa watoto ndani ya nyumba hii au kwenye mazingira ya karibu nao?

Hiiiiii bagosha!
 
Yes unastua sana, ni ngumu kuuvumilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…