Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungejua kuwa vitu vingi anavyo miliki diamond ni vya clouds usingesema
Joseph kusaga
Anamiliki diamond karanga pamoja na jamaa mwingine platinum ni wakala tuu
Chibu perfume ya kusaga platinum ni wakala tuu .
Mange huko Insta katupia reference
wewe mbona ume commentJiulize kwanini uzi wako umekosa comments?
radioWasafi fm ni nini?
mwezi april wanaamsha dudeHivi wasafi imeanza kazi rasmi?
naitamani sana
nenda instagram ya diamond utajua kila kitu kaweka hewaniAcha kuleta fiction story WASAFI FM inasikika mkoa gani?
hahahahahaha ni sheedahKiba anajenga chuo cha sanaa pwani huko,
yaaani hatareeNamuonea huruma tu king Kiba
soon and very soon barafu itayeyukaaaClouds kushuka hawezi not in a short time kama hivyo labda mseme Ruge kushuka Clouds itawezekana kama barafu kwenye joto!..
Kiherehere changu dogowewe mbona ume comment
kabisaaHakuna lisilokuwa na mwisho.......wajipange upya fasta...
hongera sana ukicheza biko utashindaKiherehere changu dogo
Private geologist
Sijakuelewa dogohongera sana ukicheza biko utashinda
Da Mange ashatujulisha, Kusaga ndo mmiliki wa Wasafi TV /Radiotunamsubiria MONDI buana... kama hakutuangusha kwenye mziki hata kwenye REDIO na TV hatotuangusha!
Mmiliki wa Clouds ndo anataka kuiharibuhamna kitu... tusubiri 2020 kama clouds itakuwa clouds tena!
Ndio, na inaonekana kuna mgogoro flani kati ya Ruge ,Kusaga na dada ake Kusaga kuhusu umiliki so Kusaga anahamishia pesa Wasafi TV /Radiokwahiyo na wasafi radio ni ya Kusaga?!
doh!
Doh basis tusubiri 2020 ukweli wote mtaujua wengine tumeshaujua Hata Mange hana taarifa badoNdio, na inaonekana kuna mgogoro flani kati ya Ruge ,Kusaga na dada ake Kusaga kuhusu umiliki so Kusaga anahamishia pesa Wasafi TV /Radio
kwakweli! na amekua!![]()
Bado huwa siisahau hii!![emoji1] [emoji1]
hehehe kwani apewe 10% amekuwa Mungu?!Diamond haache roho mbaya. Kama Ruge amemsaidia kumtoa aendelee kumpa hiyo 10% yake tu.
Mkubwa fella anamwomba diamond 10% zake kwa mbosso kwenye pesa zote atakazoingiza,eti anajiita mchonga kinyago,,daah!haya mambo cjui yanaendaje tu..hehehe kwani apewe 10% amekuwa Mungu?!
ahahahaha me nimeshindwa kuelewa hawa watu shida iko wapi njoo huku ucheke kabisaa kama sio kuliaMkubwa fella anamwomba diamond 10% zake kwa mbosso kwenye pesa zote atakazoingiza,eti anajiita mchonga kinyago,,daah!haya mambo cjui yanaendaje tu..
Diamond haache roho mbaya. Kama Ruge amemsaidia kumtoa aendelee kumpa hiyo 10% yake tu.
1.4mHZTupe megahats za redio yake bro