Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Radio Wasafi vs. Clouds FM...

Ungejua kuwa vitu vingi anavyo miliki diamond ni vya clouds usingesema
Joseph kusaga
Anamiliki diamond karanga pamoja na jamaa mwingine platinum ni wakala tuu
Chibu perfume ya kusaga platinum ni wakala tuu .
Mange huko Insta katupia reference

kwahiyo na wasafi radio ni ya Kusaga?!
doh!
 
Wasafi fm ni nini?
radio

Hivi wasafi imeanza kazi rasmi?
naitamani sana
mwezi april wanaamsha dude

Acha kuleta fiction story WASAFI FM inasikika mkoa gani?
nenda instagram ya diamond utajua kila kitu kaweka hewani

Kiba anajenga chuo cha sanaa pwani huko,
hahahahahaha ni sheedah

Namuonea huruma tu king Kiba
yaaani hataree


Clouds kushuka hawezi not in a short time kama hivyo labda mseme Ruge kushuka Clouds itawezekana kama barafu kwenye joto!..
soon and very soon barafu itayeyukaaa
 
Ndio, na inaonekana kuna mgogoro flani kati ya Ruge ,Kusaga na dada ake Kusaga kuhusu umiliki so Kusaga anahamishia pesa Wasafi TV /Radio
Doh basis tusubiri 2020 ukweli wote mtaujua wengine tumeshaujua Hata Mange hana taarifa bado
 
ef329b2b4178dfcbfd13d9b7a500afdf.jpg

Bado huwa siisahau hii!![emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom