Radio za Kikristo mnakera sana kwakweli

Duh, gari si lako.
Kwa nini ukereke na anachosikiliza mwenye gari?
 
Kuna redio huku mkoani tangazo lao kama sio waganga basi ni mkutano wa injili.
 
Akili yako ndogo ndio maana unalalamika mbona redio za kiislamu kutwa kuomba misaada na michango nguruwe nyie na kanzu zenu. Hutaki elimu itangazwe unataka tutangaze kahawa na alkasusu ndo maana wenzenu wanawapiga gape kimaisha mmekomalia kuvaa vazi la tamaduni ya waarabu
 
Alafu mwanaume mtu mzima unapewa lift unakosoa nunua gari lako weka zile alkasusu sjui albadiri zenu utaliwa marinda kwa lift
 
Mtoa mada hivi uko serious au unachangamsha tu genge weekend hii tulivu
 
Shida ndio inaanzia hapo. Nyie waislam mnaendekeza sana elimu akhera. Wacha wakristo wanaojitambua waendelee kuwatawala kwa kubalance elimu dunia na elinu akhera.
 
Hakika chuki inakufanya ushindwe kufikiri vema, uhusiano wa mada na comment yako ni upi


Hata uislamu ulipoanza watu watu kama hao walikuwepo ,walitukana sana na kutoa madai ya uwongo mwishowe wamefakiri lakini kitu wanachokichukia kinazidi kushamiri na wanataka tufuate mila zao hapo watutuona Magenius ,wastaarabu nk.

Haya ni najaribu kama najaribu mengine hayakuanza leo na wala hayatoisha leo wala Kesho ,lililo muhimu kwetu kuwa na subra ,kuvumilia kwa ajili ya Allah na tujiepushe njia yao mfano wakianza matusi na kejeli sisi tusirudishe matusi yao tuwajibu vizuri na kuwasapuka ikibidi kwani hawezi kutudhuru yeyote ikiwa sisi tumeongoka kea idhini yake Allah.
 
Unateseka nini jombaa mbona redio stations zipo nyingi ni kitendo cha kubofya kitufe cha remote yako tu.
 
adriz anatyp
Cc gonzare battawi adriz mjingamimi Kikwajuni One Nahonyo Mlolongo Gavana Accumen Mo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…