Radio za Kikristo mnakera sana kwakweli


kuna siku moja nasikiliza redio zenu za kiislamu mnatangaza waganga wa majini ili nikera sana japo nilipata mganga wa kumroga jirani alikuwa anapenda ccm
 
Unamalizaje Mwaka Ukiwa Na Hasira Hivyo
 
kuna siku moja nasikiliza redio zenu za kiislamu mnatangaza waganga wa majini ili nikera sana japo nilipata mganga wa kumroga jirani alikuwa anapenda ccm
Redio za mchongo mimi sisikilizi kabisa kutwa matangazo ya Masheikh wa kitiba na kutoa majini.
 
Hakika
 
Huu mwaka bora uishe tu. Maana umevuruga watu wengi sana.
 
Sio radio ya baba yako wala gari la mama yako funga domo na tembea kwa miguu kwenda unapo hitaji na usitupangie matumizi ya mali zetu. Maendelea hayana dini Wala chama.
 
Utazua balaa humu pasikalike
 
Nyinyi ni wachokoz sana. Hatuwezi kunyamaza
Muislamu anayejielewa hawezi kuanzisha nada ya kipumbavu kama hii ,huyo jamaa ukimfuatilia japo anajinasibu na uislamu Kazi yake mara nyingi kuanzisha mada zenye utata na kuleta mabishano ya kidini kisha kupotea .

Mfano halisi hapo akijisifia kula kitimoto hadharani na kusema anaingia kwenye ukafiri wakati kidini si vizuri mtu kutangaza maovu yako na huyo jamaa ni kipaumbele kwenye kuyqtangaza maasi yake na nyuzi nyingi za kujitangaza yeye mzinzi na jinsi anavyoifanya Kazi hiyo kwa ukamilifu ,hapo napata mashaka na Uislamu pamoja na akili yake kuwa ujumla.

Nyingi wakiristo wa humu Jf mnamatatizo mfano mtu akiandika uzi dhidi ya ukiristo Moja kuwa Moja mnamuhisi kuwa muislamu pamoja kuchukua mtizamo wako ndio uislamu na kuushambulia uislamu na sio hoja wala pumba alizoandika.Mara nyingine mnaenda mbali na kutoka nje ya uzi na kuleta kejeli na matusi na dhihaka zisizo na msingi mfano baadhi ya wapumbavu hapo juu ikiwemo na wewe niyeKuQuote.

cc: Che mittoga Tate Mkuu
 
Nonsense
 
Kweli kabisa ,acha mbali kutukanwa na kebehi kuhusu Uislamu na Mtume Muhammad ( upon him be peace and blessing of Allah)bila sababu za msingi kuna watu kila siku wanamtukana Mola mlezi na yeye bado anawapa pumzi na riziki ya kila siku.

Kuchukia maneno machafu wanayotoa ni dalili ya imani na inapaswa iwe hivyo ,ila tunafundishwa mtu usiighilibu nafsi yako na wala kuhuzunika kutokana na wasemayo kwani hiyo wamepitia wengi mno Kati ya waja wema.


Cha msingi sisi kufuata yetu na tuangalie kipi tumetanguliza kwa ajili ya kesho na imani zetu shari za maneno yao tuwaachie wenyewe wakitandika barbara ya matusi sisi tupite njia nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…