Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

wewe msanii sana!mamaaz kidi wewe!unatukimbia kimbia tu
hamna mpwa, dah halafu nilkuona unachomoka na tukutuku pale mlimani city.
unajua mkuu niko tight sana siku hizi, ila hiyo tarehe kwakua ni katikati ya wiki lazima nije, weekends niko bize mzee, shemeji yenu ananibana sanaaaaaa.
hebu ni-PM basi.
 
hamna mpwa, dah halafu nilkuona unachomoka na tukutuku pale mlimani city.
unajua mkuu niko tight sana siku hizi, ila hiyo tarehe kwakua ni katikati ya wiki lazima nije, weekends niko bize mzee, shemeji yako ananibana sanaaaaaa.
hebu ni-PM basi.
muulize x-pin dada ake aliambiwa nini tukiwa sinza last time aliponipigia😀
 
And here I am with the feedback:
Jana nilivotoka machale yakanicheza. Nikaamua ngoja kwanza nitesti zali kwa maneno kwanza. Nisije peleka kabinti ka watu kakaambulia kipigo. Nikatinga home mapema kuliko kawaida. (nilimshangaza mamsapu, siyo kawaida yangu kuwahi kurudi). Nikamuuliza kama ana rafiki wa kiume. Akashtuka kidogo, ofkozi alipigwa na butwaa. Nikamwambia nina rafiki yangu wa kike nataka nimtambulishe kwake! LOL! Mahakama ikahamia nyumbani:
Huyo binti umemjulia wapi?Kazini. Ana umri gani? Miaka 30.Ameolewa?
Hapana. Ana mchumba? Sijui. Kwanini hujui? Sijamuuliza. Kwa nini hujamuuliza? Look here mama, nina marafiki wengi tu wa kiume hawajaoa na wala sijawauliza kama wana wachumba, kwa nini nimuulize huyu au kwa kuwa ni mwanamke?

Akaniangalia juu mpaka chini! LOL akaniambia kuna kitu namtafutia. Nikamwambia si kweli. Maswali yakaendelea; Kwa nini unataka kumtambulisha kwangu? Ili umjue. Unae rafiki mmoja tu wa kike? Nnao wengi. Mbona hao wengine huwatambulishi kwangu? (Nikasita kidogo) Yeye ndio anataka akuone nikaona si vibaya. Now look here playboy (ni mara yake ya kwanza kuniita hivyo) Go and tell that girlfriend of yours, kama anataka kunifahamu for good, aje hapa na mchumba wake au mme wake. Akija mwenyewe patakuwa hapatoshi hapa! LOL!

But thats not bad for starting, I can buy someone au naweza kumtumia mmoja wa wapwa zangu kujifanya ndie mchumbake, SIYO? Si atakuwa kashamfahamu rafiki yangu wa kike? And thats what I want anyway! HAHAHA!

He! Hii kali sana! We ni noma mukulu!
 
Hahaha! Huko nyuma alishawahi japo kukutongoza? Kama ndiyo basi ujue alikuwa anataka kutesti zali kwa mara nyingine.

binamu hajawahi ni rafiki tu wa kiume na ni staili ya mlokole fulani vile
hapo ndo sioni umuhimu tena wa kumtambulisha rafiki wa kiume kwa mwenzangu ..
 
Je ni sahihi rafiki kama huyu kumtambulisha kwa mumeo/mkeo/mchumba? Yaani Carmel amtambulishe Geoff kwa mume wake kuwa huyu ni rafiki yangu. Au Fidel80 amtambulishe nyamayao kwa mkewe kuwa huyu ni rafiki yangu??

Hahahaha dah mpwa usitambulishe ukitambulisha tu na wewe utakuja kutambulishwa Jitu linalo kumegea na ukaambiwa huyu ni binamu si unajua binamu ni nyama ya hamu shauri yako.
 
muulize x-pin dada ake aliambiwa nini tukiwa sinza last time aliponipigia😀

Hahaha! Dada aliambiwa afunge mlango mpaka akisikia tukutuku linapiga breki ndio afungue mlango.
 
muulize x-pin dada ake aliambiwa nini tukiwa sinza last time aliponipigia😀

Niko bize na wapwa na taska! Nikimalizana nao nakuja, nisubiri.
hahahaaaaaaa, mpwa hebu cheki STATUS ya mkuu Geoff, kisha pia cheki SIGNATURE yake halafu niambie, mie sisemi sana.
so anahaki ya kumwambia mai waifu wake hivyo.
 
binamu hajawahi ni rafiki tu wa kiume na ni staili ya mlokole fulani vile
hapo ndo sioni umuhimu tena wa kumtambulisha rafiki wa kiume kwa mwenzangu ..

Si unaona sasa? Ungekuwa umemtambulisha siku nyingi yasingekutokea haya. Ungekuta unamwambia baba nanihii, xpin huyo kaja kutusalimia. naye angeweza kukujibu kirahisi; mi nimechoka bana, acha nilale, msalimie.
 
hapa umegonga ikulu nimekupa thanks yako bila ajizi
 
And here I am with the feedback:
Jana nilivotoka machale yakanicheza. Nikaamua ngoja kwanza nitesti zali kwa maneno kwanza. Nisije peleka kabinti ka watu kakaambulia kipigo. Nikatinga home mapema kuliko kawaida. (nilimshangaza mamsapu, siyo kawaida yangu kuwahi kurudi). Nikamuuliza kama ana rafiki wa kiume. Akashtuka kidogo, ofkozi alipigwa na butwaa. Nikamwambia nina rafiki yangu wa kike nataka nimtambulishe kwake! LOL! Mahakama ikahamia nyumbani:
Huyo binti umemjulia wapi?Kazini. Ana umri gani? Miaka 30.Ameolewa?
Hapana. Ana mchumba? Sijui. Kwanini hujui? Sijamuuliza. Kwa nini hujamuuliza? Look here mama, nina marafiki wengi tu wa kiume hawajaoa na wala sijawauliza kama wana wachumba, kwa nini nimuulize huyu au kwa kuwa ni mwanamke?

Akaniangalia juu mpaka chini! LOL akaniambia kuna kitu namtafutia. Nikamwambia si kweli. Maswali yakaendelea; Kwa nini unataka kumtambulisha kwangu? Ili umjue. Unae rafiki mmoja tu wa kike? Nnao wengi. Mbona hao wengine huwatambulishi kwangu? (Nikasita kidogo) Yeye ndio anataka akuone nikaona si vibaya. Now look here playboy (ni mara yake ya kwanza kuniita hivyo) Go and tell that girlfriend of yours, kama anataka kunifahamu for good, aje hapa na mchumba wake au mme wake. Akija mwenyewe patakuwa hapatoshi hapa! LOL!

But thats not bad for starting, I can buy someone au naweza kumtumia mmoja wa wapwa zangu kujifanya ndie mchumbake, SIYO? Si atakuwa kashamfahamu rafiki yangu wa kike? And thats what I want anyway! HAHAHA!

Yesuuuuuuuuuuuuuuuuuuu na Mariaaaaaaaaa!! Mungu wa Ibra na Yakubu wasamehe wazima na wafu!!!!!
 
Afadhali yangu, festiledi alipeleka kabisa! LOL!
 
ona wife alivoshtukia.....nimependa alivokuintarogeti kimahakama ya geshi....

Tufanye mpango nikakutambulishe wewe. Unajua hakuna kitu kizuri kama practical!
 
Back
Top Bottom