Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YES!YES INDEED....!gp is still smelling milk😀Should I note, take and file it for future office reference?
hamna mpwa, dah halafu nilkuona unachomoka na tukutuku pale mlimani city.wewe msanii sana!mamaaz kidi wewe!unatukimbia kimbia tu
muulize x-pin dada ake aliambiwa nini tukiwa sinza last time aliponipigia😀hamna mpwa, dah halafu nilkuona unachomoka na tukutuku pale mlimani city.
unajua mkuu niko tight sana siku hizi, ila hiyo tarehe kwakua ni katikati ya wiki lazima nije, weekends niko bize mzee, shemeji yako ananibana sanaaaaaa.
hebu ni-PM basi.
And here I am with the feedback:
Jana nilivotoka machale yakanicheza. Nikaamua ngoja kwanza nitesti zali kwa maneno kwanza. Nisije peleka kabinti ka watu kakaambulia kipigo. Nikatinga home mapema kuliko kawaida. (nilimshangaza mamsapu, siyo kawaida yangu kuwahi kurudi). Nikamuuliza kama ana rafiki wa kiume. Akashtuka kidogo, ofkozi alipigwa na butwaa. Nikamwambia nina rafiki yangu wa kike nataka nimtambulishe kwake! LOL! Mahakama ikahamia nyumbani:
Huyo binti umemjulia wapi?Kazini. Ana umri gani? Miaka 30.Ameolewa?
Hapana. Ana mchumba? Sijui. Kwanini hujui? Sijamuuliza. Kwa nini hujamuuliza? Look here mama, nina marafiki wengi tu wa kiume hawajaoa na wala sijawauliza kama wana wachumba, kwa nini nimuulize huyu au kwa kuwa ni mwanamke?
Akaniangalia juu mpaka chini! LOL akaniambia kuna kitu namtafutia. Nikamwambia si kweli. Maswali yakaendelea; Kwa nini unataka kumtambulisha kwangu? Ili umjue. Unae rafiki mmoja tu wa kike? Nnao wengi. Mbona hao wengine huwatambulishi kwangu? (Nikasita kidogo) Yeye ndio anataka akuone nikaona si vibaya. Now look here playboy (ni mara yake ya kwanza kuniita hivyo) Go and tell that girlfriend of yours, kama anataka kunifahamu for good, aje hapa na mchumba wake au mme wake. Akija mwenyewe patakuwa hapatoshi hapa! LOL!
But thats not bad for starting, I can buy someone au naweza kumtumia mmoja wa wapwa zangu kujifanya ndie mchumbake, SIYO? Si atakuwa kashamfahamu rafiki yangu wa kike? And thats what I want anyway! HAHAHA!
Hahaha! Huko nyuma alishawahi japo kukutongoza? Kama ndiyo basi ujue alikuwa anataka kutesti zali kwa mara nyingine.
Je ni sahihi rafiki kama huyu kumtambulisha kwa mumeo/mkeo/mchumba? Yaani Carmel amtambulishe Geoff kwa mume wake kuwa huyu ni rafiki yangu. Au Fidel80 amtambulishe nyamayao kwa mkewe kuwa huyu ni rafiki yangu??
muulize x-pin dada ake aliambiwa nini tukiwa sinza last time aliponipigia😀

hahahaaaaaaa, mpwa hebu cheki STATUS ya mkuu Geoff, kisha pia cheki SIGNATURE yake halafu niambie, mie sisemi sana.Niko bize na wapwa na taska! Nikimalizana nao nakuja, nisubiri.
binamu hajawahi ni rafiki tu wa kiume na ni staili ya mlokole fulani vile
hapo ndo sioni umuhimu tena wa kumtambulisha rafiki wa kiume kwa mwenzangu ..
wewe, acha utani weee, mi staki kabisa.Hahaha! Ulimwalika au alikuja kivyakevyake? Unajitafutia balaa wewe. Ungewasiliana na Carmel kwanza akupige msasa. LOL!
Si unaona sasa? Ungekuwa umemtambulisha siku nyingi yasingekutokea haya. Ungekuta unamwambia baba nanihii, xpin huyo kaja kutusalimia. naye angeweza kukujibu kirahisi; mi nimechoka bana, acha nilale, msalimie.
And here I am with the feedback:
Jana nilivotoka machale yakanicheza. Nikaamua ngoja kwanza nitesti zali kwa maneno kwanza. Nisije peleka kabinti ka watu kakaambulia kipigo. Nikatinga home mapema kuliko kawaida. (nilimshangaza mamsapu, siyo kawaida yangu kuwahi kurudi). Nikamuuliza kama ana rafiki wa kiume. Akashtuka kidogo, ofkozi alipigwa na butwaa. Nikamwambia nina rafiki yangu wa kike nataka nimtambulishe kwake! LOL! Mahakama ikahamia nyumbani:
Huyo binti umemjulia wapi?Kazini. Ana umri gani? Miaka 30.Ameolewa?
Hapana. Ana mchumba? Sijui. Kwanini hujui? Sijamuuliza. Kwa nini hujamuuliza? Look here mama, nina marafiki wengi tu wa kiume hawajaoa na wala sijawauliza kama wana wachumba, kwa nini nimuulize huyu au kwa kuwa ni mwanamke?
Akaniangalia juu mpaka chini! LOL akaniambia kuna kitu namtafutia. Nikamwambia si kweli. Maswali yakaendelea; Kwa nini unataka kumtambulisha kwangu? Ili umjue. Unae rafiki mmoja tu wa kike? Nnao wengi. Mbona hao wengine huwatambulishi kwangu? (Nikasita kidogo) Yeye ndio anataka akuone nikaona si vibaya. Now look here playboy (ni mara yake ya kwanza kuniita hivyo) Go and tell that girlfriend of yours, kama anataka kunifahamu for good, aje hapa na mchumba wake au mme wake. Akija mwenyewe patakuwa hapatoshi hapa! LOL!
But thats not bad for starting, I can buy someone au naweza kumtumia mmoja wa wapwa zangu kujifanya ndie mchumbake, SIYO? Si atakuwa kashamfahamu rafiki yangu wa kike? And thats what I want anyway! HAHAHA!
Afadhali yangu, festiledi alipeleka kabisa! LOL!