Rafiki kutambulishwa kwa mke/mume/mchumba? IS IT REASONABLE?

Sasa siku moja akitukuta tuko mkahawani tunapata chai na sambusa, wife si atajua nimekamata nyumba ndogo? Ipi hatari zaidi?

Ha ha ha unatafuta noma kweli wewe umejiunga kwenye chama lakini?Tupo kwenye reseach yawapigwao angaalia
 
Hahaha! Sitegemei kupigwa na kiumbe chochote chenye jinsia ya SHE! LOL!
 
Yeah he is an angel. He even insists sometimes that am very luck to have a man who gives me space to be myself! But mpwa, Trust is earned, you cant just wake up one day and get it, you have to work hard to earn it. The freedom and trust bestowed upon a person has to be proved beyond resonable doubt that it wont cause any problem in the future.

You can say that again and again carmel..........!!!
 
Mimi ninao marafiki kadhaa wa kike ambao ni just friend. Mmoja wao alipoolewa mumewe alileta kasheshe sana. Ila nilikuja kugundua ni maneno ya baa tu kwa washkaji zake waliokuwa wanamwambia haiwezekani watu wa jinsia tofauti wakawa ''just friends''. Ila nashukuru kwa sasa jamaa analielewa hilo.

Halafu wanawake ambao ni ''just friends'' ndio huwa wakombozi wakuu mtu ukiwa umefulia...wepesi sana kutoa msaada wa kifedha!
 
Hiyo bold: Vipi bado mnaendelea na urafiki wenu?
Hiyo red: Machale yananicheza kiduchu! LOL!
 
Halafu Mchumba hebu niambie,hiyo rating vidude vya njano hapo juu maana yake nini? thread chache huwa naviona hivo.mara ya mwisho nimeona thread ya mrs mtaba.
 
Duh! Hata mimi sijui, ngoja ntamuuliza invizibo jeoff anambie afu ntakuteli.
 
ha ha ha!
SIRI YA JESHI BANA!kama nitawaambia kila kitu haitakuwa na maana ya kujiita invizibo
 
Mimi ninao marafiki kadhaa wa kike ambao ni just friend. Mmoja wao alipoolewa mumewe alileta kasheshe sana. Ila nilikuja kugundua ni maneno ya baa tu kwa washkaji zake waliokuwa wanamwambia haiwezekani watu wa jinsia tofauti wakawa ''just friends''. Ila nashukuru kwa sasa jamaa analielewa hilo.

Halafu wanawake ambao ni ''just friends'' ndio huwa wakombozi wakuu mtu ukiwa umefulia...wepesi sana kutoa msaada wa kifedha!

hahahaha masaki safi sana ..urafiki wa kweli ni ule wa kusaidiana katika shida na raha ..sio kwenye Tusker tu
 
ha ha ha ha ahahahahaah
ANGALIZO:kesho checking time ni 07:35am,
 
Hahaha! Invizibo wa JF-Chawote branch!
..........zea yuu aa!SENKSI!kuna kikao leo chawote!ngoja nipige kazi fasta fasta lol!
jana kaizer na MENEJA walitaka kutuua.kwa sasa naona pombe kwa mbaaali imeanza kuisha
 
Kaunta ya Chawote inanitosha mi na ZD?
 
kusema ukweli kama wife wangu atanileta jamaa home kumtabulisha lazima hapo kuna kitu wewe urafiki gani wa mwanume na mamke mpaka home na hamna mwaume duniani iyetongoza hata wake za wtu
 
Kaunta ya Chawote inanitosha mi na ZD?
full starehe!juke-boxi kwa wiingiiiii!MIZIKI YA MWAMBAO...''nichumuuuu..!MWAAAAAAAAAAAAA''!kijotiii kijotii kijotiiiiiiiiiiiiiiiiiii

huku ana anasupply vinywaji like HELL
 
full starehe!juke-boxi kwa wiingiiiii!MIZIKI YA MWAMBAO...''nichumuuuu..!MWAAAAAAAAAAAAA''!kijotiii kijotii kijotiiiiiiiiiiiiiiiiiii

huku ana anasupply SERENGETI like HELL

Ntakukaribisha Chawote LEO!
 
ha ha ha ha ahahahahaah
ANGALIZO:kesho checking time ni 07:35am,

well noted thanks binamu ila ile namba mbona mmh kila nikibofya inasema inatumika ulaya
PM correction pls
 
Hahaha! Namba ya invizibo lazima uanze na sekyuriti kodi! Unazijua?
 
Back
Top Bottom