FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Sasa lini utanitambulisha kwa bamsapu? We are friends for God's sake.
hahaha ngoja nianze kufanya maandalizi hii ya kushitukizana hapana sitaki tena ......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa lini utanitambulisha kwa bamsapu? We are friends for God's sake.
Sasa siku moja akitukuta tuko mkahawani tunapata chai na sambusa, wife si atajua nimekamata nyumba ndogo? Ipi hatari zaidi?
Yeah he is an angel. He even insists sometimes that am very luck to have a man who gives me space to be myself! But mpwa, Trust is earned, you cant just wake up one day and get it, you have to work hard to earn it. The freedom and trust bestowed upon a person has to be proved beyond resonable doubt that it wont cause any problem in the future.
Mimi ninao marafiki kadhaa wa kike ambao ni just friend. Mmoja wao alipoolewa mumewe alileta kasheshe sana. Ila nilikuja kugundua ni maneno ya baa tu kwa washkaji zake waliokuwa wanamwambia haiwezekani watu wa jinsia tofauti wakawa ''just friends''. Ila nashukuru kwa sasa jamaa analielewa hilo.
Halafu wanawake ambao ni ''just friends'' ndio huwa wakombozi wakuu mtu ukiwa umefulia...wepesi sana kutoa msaada wa kifedha!
Halafu Mchumba hebu niambie,hiyo rating vidude vya njano hapo juu maana yake nini? thread chache huwa naviona hivo.mara ya mwisho nimeona thread ya mrs mtaba.
ha ha ha!Duh! Hata mimi sijui, ngoja ntamuuliza invizibo jeoff anambie afu ntakuteli.
Mimi ninao marafiki kadhaa wa kike ambao ni just friend. Mmoja wao alipoolewa mumewe alileta kasheshe sana. Ila nilikuja kugundua ni maneno ya baa tu kwa washkaji zake waliokuwa wanamwambia haiwezekani watu wa jinsia tofauti wakawa ''just friends''. Ila nashukuru kwa sasa jamaa analielewa hilo.
Halafu wanawake ambao ni ''just friends'' ndio huwa wakombozi wakuu mtu ukiwa umefulia...wepesi sana kutoa msaada wa kifedha!
ha ha ha ha ahahahahaahhahahaha masaki safi sana ..urafiki wa kweli ni ule wa kusaidiana katika shida na raha ..sio kwenye Tusker tu
..........zea yuu aa!SENKSI!kuna kikao leo chawote!ngoja nipige kazi fasta fasta lol!Hahaha! Invizibo wa JF-Chawote branch!
full starehe!juke-boxi kwa wiingiiiii!MIZIKI YA MWAMBAO...''nichumuuuu..!MWAAAAAAAAAAAAA''!kijotiii kijotii kijotiiiiiiiiiiiiiiiiiiiKaunta ya Chawote inanitosha mi na ZD?
ha ha ha ha ahahahahaah
ANGALIZO:kesho checking time ni 07:35am,