Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

Wana jukwaaa wazima nyie. Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro .Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekua kama ndugu likizo nilikua naenda kwao. Jamaa alikua anaishi na mfanyakazi wa ndani baada ya wazaz wake kuhamia Dar-es- saalam kwao walikua wamejenga sana likizo flani nilimualika kwetu akaja jamaa alishangaa sana Nyumba yetu ilivyokua (Low quality) alinichana pale pale tukia nae kwamba natakiwa nikifanikiwa nijenge Nyumbani na mji wangu baada ya kidato cha sita matokeo kutoka tulipata chuo kimoja pale Moshi. Tulivyomaliza mimi nilienda Arusha yeye akaenda Dar-es-salaam baada ya kupotezana miaka miwili nilifanikiwa kukutana nae Dar-es-salaam jamaa alikua anapush Toyota Harrier ila alinidanganya la Mzee wake. Jamaa alinipeleka Kimara mtaani kwao alikua na maduka mawili yakwake nilichoka sana miaka miwili amewezaje kesho yake akanipeleka Kariakoo nilichoka maduka wanayo matatu moja la Baba yake moja lake moja la viatu vya kike la Dada yake. Nilipata kuongea na Baba yake nkamweleza mambo yangu ikiwepo swala la kuoa akanishauri nilifute mara moja kwakua sijasimama kiuchumi akanishauri nisirudi mkoa nibaki Dar kukimbizana na mishemishe kweli Baba yule alinipa chumba ndan ya nyumba yao pale Kimara ikawa asubuhi ni kuamka kwenda Kariakoo kukimbizana alikua ananishauri sana ndan ya mwaka mmoja nihakikishe nimesimama mwenyewe kwan uwezo ninao kwenye biashara nlkua sina uzoefu ila kila siku tukirudi home lazima yule mzee aniite tupige hesabu nimepata sh ngap kwa siku tukawa na daftari kama tatu moja la Kuanzisha duka langu, moja la kununua Kiwanja, moja la kuanza ujenzi niliishi maisha ya kutokula bata na ubahili yule mzee alikua anatutoa weekend tu maisha yalikua magumu nilikua nakula kwa macho pisi kali za Kaariakoo baada ya Miaka miwili nimesimama na nimeanza Ujenzi huku nina Maduka mawili hakika ndugu yangu Kimaro umenitoa mbali🙏🏿🙏🏿​
Ukumbuke na wewe kufanya ulichofanyiwa
 
Wanajukwaaa wazima nyie.

Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro

Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa kama ndugu likizo nilikuwa naenda kwao. Jamaa alikuwa anaishi na mfanyakazi wa ndani baada ya wazazi wake kuhamia Dar-es- Saalam kwao walikuwa wamejenga sana

Likizo fulani nilimualika kwetu akaja, jamaa alishangaa sana Nyumba yetu ilivyokuwa (Low quality) alinichana palepale tukiwa nae kwamba natakiwa nikifanikiwa nijenge Nyumbani na mji wangu

Baada ya kidato cha sita matokeo kutoka tulipata chuo kimoja pale Moshi. Tulivyomaliza mimi nilienda Arusha yeye akaenda Dar-es-Salaa. Baada ya kupotezana miaka miwili nilifanikiwa kukutana nae Dar-es-Salaam, jamaa alikuwa anapush Toyota Harrier ila alinidanganya la Mzee wake.

Jamaa alinipeleka Kimara mtaani kwao alikuwa na maduka mawili ya kwake nilichoka sana miaka miwili amewezaje. Kesho yake akanipeleka Kariakoo nilichoka maduka wanayo matatu moja la Baba yake moja lake moja la viatu vya kike la Dada yake.

Nilipata kuongea na Baba yake nikamweleza mambo yangu ikiwepo suala la kuoa akanishauri nilifute mara moja kwakuwa sijasimama kiuchumi, akanishauri nisirudi mkoa nibaki Dar kukimbizana na mishemishe kweli Baba yule alinipa chumba ndani ya nyumba yao pale Kimara ikawa asubuhi ni kuamka kwenda Kariakoo kukimbizana

Alikuwa ananishauri sana ndani ya mwaka mmoja nihakikishe nimesimama mwenyewe kwani uwezo ninao kwenye biashara nilikuwa sina uzoefu ila kila siku tukirudi home lazima yule mzee aniite tupige hesabu nimepata sh ngapi, kwa siku tukawa na daftari kama tatu moja la kuanzisha duka langu, moja la kununua Kiwanja, moja la kuanza ujenzi

Niliishi maisha ya kutokula bata na ubahili yule mzee alikuwa anatutoa weekend tu maisha yalikuwa magumu nilikuwa nakula kwa macho pisi kali za Kariakoo

Baada ya Miaka miwili nimesimama na nimeanza Ujenzi huku nina Maduka mawili. Hakika ndugu yangu Kimaro umenitoa mbali🙏🏿🙏🏿
Wachaga ni industrious na wanajituma.
Hawana utani na kazi.
 
Baada ya Miaka miwili nimesimama na nimeanza Ujenzi huku nina Maduka mawili. Hakika ndugu yangu Kimaro umenitoa mbali[emoji1545][emoji1545]

Hizi ndizo hadithi tunazotakiwa kuwa nazo Afrika. Kutoka kunahitaji wakati mwingine kusaidiana kwa dhati kama hivi na siyo wivu wakijinga.

Hongera sana sasa na wewe uwe balozi umtoe mwingine kama hali itakuruhusu.
 
Nimepanga hivo mkuu kuna dogo nipo nae tunapambana nae naona nae ana uelekeo mzuri sijajua badae itakuaje ila nidhamu ya pesa ndio namsisitiza.
 
Wanajukwaaa wazima nyie.

Kiasili mimi ni mzaliwa kutoka Nyanda za Juu Kusini ndani ya Mkoa flani hivi. Elimu yangu niliipata mkoa wa Kaskazini (Kilimanjaro) kuanzia kidato cha pili hadi Chuo nilisoma kule baada ya maza kupata kazi Kilimanjaro

Nilibahatika kupata Rafiki yangu ambaye amekuwa kama ndugu likizo nilikuwa naenda kwao. Jamaa alikuwa anaishi na mfanyakazi wa ndani baada ya wazazi wake kuhamia Dar-es- Saalam kwao walikuwa wamejenga sana

Likizo fulani nilimualika kwetu akaja, jamaa alishangaa sana Nyumba yetu ilivyokuwa (Low quality) alinichana palepale tukiwa nae kwamba natakiwa nikifanikiwa nijenge Nyumbani na mji wangu

Baada ya kidato cha sita matokeo kutoka tulipata chuo kimoja pale Moshi. Tulivyomaliza mimi nilienda Arusha yeye akaenda Dar-es-Salaa. Baada ya kupotezana miaka miwili nilifanikiwa kukutana nae Dar-es-Salaam, jamaa alikuwa anapush Toyota Harrier ila alinidanganya la Mzee wake.

Jamaa alinipeleka Kimara mtaani kwao alikuwa na maduka mawili ya kwake nilichoka sana miaka miwili amewezaje. Kesho yake akanipeleka Kariakoo nilichoka maduka wanayo matatu moja la Baba yake moja lake moja la viatu vya kike la Dada yake.

Nilipata kuongea na Baba yake nikamweleza mambo yangu ikiwepo suala la kuoa akanishauri nilifute mara moja kwakuwa sijasimama kiuchumi, akanishauri nisirudi mkoa nibaki Dar kukimbizana na mishemishe kweli Baba yule alinipa chumba ndani ya nyumba yao pale Kimara ikawa asubuhi ni kuamka kwenda Kariakoo kukimbizana

Alikuwa ananishauri sana ndani ya mwaka mmoja nihakikishe nimesimama mwenyewe kwani uwezo ninao kwenye biashara nilikuwa sina uzoefu ila kila siku tukirudi home lazima yule mzee aniite tupige hesabu nimepata sh ngapi, kwa siku tukawa na daftari kama tatu moja la kuanzisha duka langu, moja la kununua Kiwanja, moja la kuanza ujenzi

Niliishi maisha ya kutokula bata na ubahili yule mzee alikuwa anatutoa weekend tu maisha yalikuwa magumu nilikuwa nakula kwa macho pisi kali za Kariakoo

Baada ya Miaka miwili nimesimama na nimeanza Ujenzi huku nina Maduka mawili. Hakika ndugu yangu Kimaro umenitoa mbali🙏🏿🙏🏿
Hongera sana Kiongozi
Usisahau kuwashika mkono wengine wenye mahitaji/wanaopitia wakati mgumu ili Mungu azibariki biashara zako...
 
Nimepanga hivo mkuu kuna dogo nipo nae tunapambana nae naona nae ana uelekeo mzuri sijajua badae itakuaje ila nidhamu ya pesa ndio namsisitiza.

Mtoe tu. Hiyo ndiyo sadaka muhimu kuliko ya kupeleka madhabahuni walipo wahuni.
 
Back
Top Bottom