Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

Ukumbuke na wewe kufanya ulichofanyiwa
 
Wachaga ni industrious na wanajituma.
Hawana utani na kazi.
 
Hizi ndizo hadithi tunazotakiwa kuwa nazo Afrika. Kutoka kunahitaji wakati mwingine kusaidiana kwa dhati kama hivi na siyo wivu wakijinga.

Hongera sana sasa na wewe uwe balozi umtoe mwingine kama hali itakuruhusu.
 
Nimepanga hivo mkuu kuna dogo nipo nae tunapambana nae naona nae ana uelekeo mzuri sijajua badae itakuaje ila nidhamu ya pesa ndio namsisitiza.
 
Hongera,ajitokeze mwingine aniinue na Mimi[emoji120]
 
Hongera sana Kiongozi
Usisahau kuwashika mkono wengine wenye mahitaji/wanaopitia wakati mgumu ili Mungu azibariki biashara zako...
 
Nimepanga hivo mkuu kuna dogo nipo nae tunapambana nae naona nae ana uelekeo mzuri sijajua badae itakuaje ila nidhamu ya pesa ndio namsisitiza.

Mtoe tu. Hiyo ndiyo sadaka muhimu kuliko ya kupeleka madhabahuni walipo wahuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…