Rafiki yangu alivyonishika mkono hadi kufanikiwa

2020 miaka miwili nyuma alikuwa na dili za asali ,mara alikuwa jela .huo mda kapata wapi? Naona vijana mnajitekenya kwamba mna roho nzuri ila behind sio kweli.
Kumbuka ile safari yako ya Arusha kwenda Moshi sijui ,wewe ni mtu wa Arusha sijui jambazi ambaye ulishwai kufungwa ,sasa unaleta porojo.



 
Aisee! Hongera sana mkuu. Ni wachache sana wenye moyo wa kuona marafiki zao wanafanikiwa kimaisha. Mungu aendelee kuwabariki sana.
 
Kitu kibwa sana tunachokikosa sisi vijana wa kiume ni kuwa na wazee wa kiume wenye mafanikio wanaotusimamia mwanzo mwisho wengi wa wazee hawa wamefariki vijana tumebaki tunajitafutia tu maisha bila miongozo.

Pia Kuna umuhimu mkubwa sana haya maisha kuwa na mentors wenye mafanikio.

Pia hongera kwa kupata famili friend wanaokupenda.
 
Huyo mzee ni mastermind hao ndio wazee tunatakiwa kujipendekeza kwao inshort alikuwa anakujenga mindsets ya kupambana kwa mwaka mzima..darasa amekupa bure bila malipo na mtaji ukapewa safi sana.

Ni furaha sana kijana akifanikiwa.πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Unafikiri inahitajika miaka mingapi kutusua
We angalia mwaka 2020 alikuwa analina asali kwa story yake angekuwa yuko kweny biashara kabla hajaanza kujisimamia na alifunga jela huyo tambua..ni kwamba story yote ni uongo alipotaka tu kabila .. Maana hata yeye ni mchaga anadanganya.
 
Sasa kama ana Binti huyo mzee owa tu uwe ndugu kabisa maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…