Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kongole kwa maza, nipe location nimtumie pilipili za India amuwekee hadi kwenye shuka analolalia.
Hahaha kwa kweliMwambie akampime DNA uenda sio mama yake mzazi
Hahaha nimecheka sana. Huyo mama yake jamaa nahisi atakua mtu wa Mara au KilimanjaroHahahahahahahaa kwa kuondoa stress za Bi Kidude bonyeza Jf
[emoji23][emoji23]Kuna rafiki yangu tunabeba tofarik wote hapa saiti; analalamika anakaa kwao, mama yake anamuambia dada wa kazi kuweka pilipili kila sehemu.
Pilipili mpaka kwenye ugal sasa mhuni pilipili inamshinda ila mama mzazi anasema ni nzuri na hana mpango kuipunguza na tabia anasema imeanza ina kama miez 3.
Sasa mwendo pilipili kal kila sehem ugal mpka mboga. Mwamba anaomba ushauri mama yake ana maana gani; yaan pilipili mwanzo mwenga. Kila sehemu kama vina vya wimbo kwa ufupi wamekua familia ya Kihindi.
Si muwasho huo!Afadhali huyo, kuna mmoja aliwekewa pilipili kwenye maji ya kuoga
Duuh,taifodi hapo hakuna na minyoo!Pilipili kwenye chakula analalamika?
sisi kwetu pilipili ilikua ni kiungo muhimu sana kwenye vyakula
iwe shiro/makukuru/kiburu/mtori na mboga zingine zote unazozijua hadi samaki wa kurumangia anapigwa pilipili kama kiwi kwenye viatu.
na hapo haijalishi umri yaani kuanzia miaka mitatu kwenda juu ni mwendo wa ukanjibai tu
R.I.P MAMA.
Mkuu umeamua kutema yai tu kila mahali 😂😂😂His mother is helping him to increase power of men
Mchawi wa hizo mambo ni maji lakini kwa kule kwetu watu tumezaliwa tumeyakuta maji ya bomba kila baada ya mita 200 na ni safi kabisa achana na ya mtoni au mferejini ni masafi kuliko ya Dar.Duuh,taifodi hapo hakuna na minyoo!
Wapi huko nihamie!Mchawi wa hizo mambo ni maji lakini kwa kule kwetu watu tumezaliwa tumeyakuta maji ya bomba kila baada ya mita 200 na ni safi kabisa achana na ya mtoni au mferejini ni masafi kuliko ya Dar.
Yaah i think now is my time for me to giveout what i have i this language broMkuu umeamua kutema yai tu kila mahali 😂😂😂
jamaa anasapot kikamilifu majukum apo kwao haomb kitu kwa mzaz maana tunapiga naye tofar sema mama yake sijui ana maana ganMama kaona huna mchango wowote pamoja na kubeba tofari