Rafiki yangu anakaa kwao, analalamika pilipili inawekwa mpaka kwenye ugali

Rafiki yangu anakaa kwao, analalamika pilipili inawekwa mpaka kwenye ugali

Na wanaume wote hawako sawa kama ilivyo kwa wanawake. Cha muhimu ni kuamrishana mema na kukatazana mabaya lakini siyo kuanza kukamatana uchawi.
sawa sasa kwanini useme hakuna mwanamke asiye mtakia mema mwanae
 
Kwa mwenye kuweza aingie you tube au ticktock Kuna bi mkubwa Moja anaitwa Barbara O'Neil anaelezea umuhimu wa pili pili, ukijua umuhimu wake utampa kongole mama wa mbeba tofali.
 
Back
Top Bottom