Rafiki yangu anakaa kwao, analalamika pilipili inawekwa mpaka kwenye ugali

Kuna rafiki yangu tunabeba tofarik wote hapa saiti; analalamika anakaa kwao, mama yake anamuambia dada wa kazi kuweka pilipili kila sehemu.

Pilipili mpaka kwenye ugal sasa mhuni pilipili inamshinda ila mama mzazi anasema ni nzuri na hana mpango kuipunguza na tabia anasema imeanza ina kama miez 3.

Sasa mwendo pilipili kal kila sehem ugal mpka mboga. Mwamba anaomba ushauri mama yake ana maana gani; yaan pilipili mwanzo mwenga. Kila sehemu kama vina vya wimbo kwa ufupi wamekua familia ya Kihindi.
Na akicheza wataweka mpaka kwenye Maji ya kunywa na Chai. Akufukuzae hakuambii toka, ahame tu akajitegemee mwenyewe.
 
Kuna rafiki yangu tunabeba tofarik wote hapa saiti; analalamika anakaa kwao, mama yake anamuambia dada wa kazi kuweka pilipili kila sehemu.

Pilipili mpaka kwenye ugal sasa mhuni pilipili inamshinda ila mama mzazi anasema ni nzuri na hana mpango kuipunguza na tabia anasema imeanza ina kama miez 3.

Sasa mwendo pilipili kal kila sehem ugal mpka mboga. Mwamba anaomba ushauri mama yake ana maana gani; yaan pilipili mwanzo mwenga. Kila sehemu kama vina vya wimbo kwa ufupi wamekua familia ya Kihindi.
Pilipili ni dawa kubwa sana, huyo kijana haelewi. Usishindane na mama, hakuna mama anayemtakia mabaya mwanawe.
 
Pilipili kwenye chakula analalamika?
sisi kwetu pilipili ilikua ni kiungo muhimu sana kwenye vyakula
iwe shiro/makukuru/kiburu/mtori na mboga zingine zote unazozijua hadi samaki wa kurumangia anapigwa pilipili kama kiwi kwenye viatu.
na hapo haijalishi umri yaani kuanzia miaka mitatu kwenda juu ni mwendo wa ukanjibai tu
R.I.P MAMA.
Unajua kwanini alikuwa anaweka pilipili?
 
Back
Top Bottom