Rafiki yangu anakaa kwao, analalamika pilipili inawekwa mpaka kwenye ugali

Na akicheza wataweka mpaka kwenye Maji ya kunywa na Chai. Akufukuzae hakuambii toka, ahame tu akajitegemee mwenyewe.
 
Pilipili ni dawa kubwa sana, huyo kijana haelewi. Usishindane na mama, hakuna mama anayemtakia mabaya mwanawe.
 
Unajua kwanini alikuwa anaweka pilipili?
 
[emoji28][emoji28][emoji28]Akufukuzae hakwambii toka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…