Rafiki yangu anakaa kwao, analalamika pilipili inawekwa mpaka kwenye ugali

Ushauri wangu ni πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜
 
Itakuwa wahindi hao
 
Wazazi wengine nuksi tu. Mtoto kukaa kwao sio kitu kibaya mradi anajishughulisha na anachangia au kusaidia kikamilifu nyumbani sioni ubaya.
Kama anafanya kazi ya ujenzi maana yake anajishughulisha.
Labda kama hachangii kitu hapo nyumbani pesa yake anaitumia kivyake halafu muda wa chakula anatia timu na yeye anasubiri wakati akirudi kibaruani harudi na unga wala mboga hapo anastahili kuwekewa pilipili kwenye ugali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nani kama mama by Christian Bella.
 
Akufukuzaye hakwambii toka!
 
Mwambie asiondoke awakomeshe wale pilipili mpaka nao wakome.
 
Hahahaha jamaa anafukuzwa nyumbani na anakaza shingo!
 
Umaskini sio tusi ila umaskini ni laana ujue kutokana na umaskini watu wamekua wakifanya matendo ya hovyo sana wengne hukataa ndugu zao kisa umaskin wengne ukataa damu zao kisa umaskini

Ndo maana sku izi kunamsema watu wanautumia sana unasema β€œ tafta pesa”ni kwel tutafte pesa tena mapesa meng tuachane na laana km iZi
 
Pilipili ni dawa kubwa sana, huyo kijana haelewi. Usishindane na mama, hakuna mama anayemtakia mabaya mwanawe.
na kusahihisha tu mkuu hakuna mtu mbaya duniani kama mwanamke, wanaotoa kila siku mimba au kuloga watoto wao wa kuwazaa wanatoka sayali gani?
 
na kusahihisha tu mkuu hakuna mtu mbaya duniani kama mwanamke, wanaotoa kila siku mimba au kuloga watoto wao wa kuwazaa wanatoka sayali gani?
Na mjinga zaidi ni yule aliyeoa mke namna hiyo.

Hapo hujanisahihisha bali umekiri kuwa "mwanamme hana ujanja mbele ya mwanamke".
 
Na mjinga zaidi ni yule aliyeoa mke namna hiyo.

Hapo hujanisahihisha bali umekiri kuwa "mwanamme hana ujanja mbele ya mwanamke".
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ tupo wanaume kamili ambao hatuteteleshwi na mwanamke yeyote .najua wewe ni mama mwema na bora,kwa wema na ubora ulionao usifikiri wamama wote duniani wako hivyo
 
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ tupo wanaume kamili ambao hatuteteleshwi na mwanamke yeyote .najua wewe ni mama mwema na bora,kwa wema na ubora ulionao usifikiri wamama wote duniani wako hivyo
Na wanaume wote hawako sawa kama ilivyo kwa wanawake. Cha muhimu ni kuamrishana mema na kukatazana mabaya lakini siyo kuanza kukamatana uchawi.
 
Aanze kumla dada wa kazi.
Hapo tatizp solvedπŸ˜„
 
Wewe unaogopa kuchanganyiwa pilipili kwa ugali!
Usikate tamaa pambana hata apike ugali na mboga pilipili usiondoke.
 
Maza hajataka kumkosea heshima mwamba, anatumia ustaarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…