Ushimen JF-Expert Member Joined Oct 24, 2012 Posts 40,828 Reaction score 99,523 Aug 15, 2023 #81 Leejay49 said: Aisee ππππ€ Click to expand... Yaani nimesoma heading tu, nimecheka sana....π€£
Leejay49 said: Aisee ππππ€ Click to expand... Yaani nimesoma heading tu, nimecheka sana....π€£
begi la pesa JF-Expert Member Joined Apr 11, 2019 Posts 1,124 Reaction score 1,946 Aug 15, 2023 #82 FaizaFoxy said: Na wanaume wote hawako sawa kama ilivyo kwa wanawake. Cha muhimu ni kuamrishana mema na kukatazana mabaya lakini siyo kuanza kukamatana uchawi. Click to expand... sawa sasa kwanini useme hakuna mwanamke asiye mtakia mema mwanae
FaizaFoxy said: Na wanaume wote hawako sawa kama ilivyo kwa wanawake. Cha muhimu ni kuamrishana mema na kukatazana mabaya lakini siyo kuanza kukamatana uchawi. Click to expand... sawa sasa kwanini useme hakuna mwanamke asiye mtakia mema mwanae
FaizaFoxy Platinum Member Joined Apr 13, 2011 Posts 100,246 Reaction score 123,145 Aug 15, 2023 #83 begi la pesa said: sawa sasa kwanini useme hakuna mwanamke asiye mtakia mema mwanae Click to expand... Hilo ndiyo ukweli, hakuna mama anaezaa, akalea mpaka mtoto anakuwa mtu mzima anaanza kujitegemea halafu leo mama awe mbaya. Haiingii akilini.
begi la pesa said: sawa sasa kwanini useme hakuna mwanamke asiye mtakia mema mwanae Click to expand... Hilo ndiyo ukweli, hakuna mama anaezaa, akalea mpaka mtoto anakuwa mtu mzima anaanza kujitegemea halafu leo mama awe mbaya. Haiingii akilini.
AbouZakariya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,646 Reaction score 2,378 Aug 15, 2023 #84 fundi bishoo said: His mother is helping him to increase power of men Click to expand... Laiti angejua umuhimu wake angemwambia amwekee mpaka kwenye maji ya kunywa
fundi bishoo said: His mother is helping him to increase power of men Click to expand... Laiti angejua umuhimu wake angemwambia amwekee mpaka kwenye maji ya kunywa
AbouZakariya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,646 Reaction score 2,378 Aug 15, 2023 #85 Kwa mwenye kuweza aingie you tube au ticktock Kuna bi mkubwa Moja anaitwa Barbara O'Neil anaelezea umuhimu wa pili pili, ukijua umuhimu wake utampa kongole mama wa mbeba tofali.
Kwa mwenye kuweza aingie you tube au ticktock Kuna bi mkubwa Moja anaitwa Barbara O'Neil anaelezea umuhimu wa pili pili, ukijua umuhimu wake utampa kongole mama wa mbeba tofali.