Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Poa mamboMambo diha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mamboMambo diha
Sawa kma ni hivo but Kuna familia ni ngumu kukubaliana na Hilo suala
Naongea kwa experience ni rahis wapenz mnapokubaliana mkiwa wawili mmekumbatiana Sasa nendeni huko mbele ndo tatizo maswali Huwa mengi sana
Fresh…za siku telePoa mambo
Safi tu tunamshukuru Mama samia 😄Fresh…za siku tele
Itapendeza mkisalimina PM ili kuepuka kuharibu maudhui wa huu uzi Asante.Fresh…za siku tele
Itapendeza mkisalimina PM ili kuepuka kuharibu maudhui wa huu uzi Asante.
How unakuwa karibu Mungu bila dini?Unamaanisha wazazi wa pande zote mbili kuingilia na kukataa.?
Ni Kijana mjinga ambae anaweza kuamini ukioa musilam au mkiristu utafanikiwa katika ndoa .
Swala la dini halina umuhimu na nafasi Kwa watu wanaojitambua.
Maana binadamu anabidi kuwa karibu na Mungu na sio dini.
Mmoja anamfuata mwenzakeHiv mnaotafuta dini yoyote Huwa mnaujasiri wa namna ipi,mbona ni suala gumu sana mkifika hatua ya kufunga ndoa Yani Huwa ni kasheshe sana au mm tu uwezo wangu wa kufikiri
Dini ni njia ya kukupeleka Kwa Mungu Ila unaweza kwenda Kwa Mungu bila dini yoyote .How unakuwa karibu Mungu bila dini?
Kufunga ndoa tunatafuta kibali Kwa Mungu kujiepusha na dhambi ya uzinifuDini ni njia ya kukupeleka Kwa Mungu Ila unaweza kwenda Kwa Mungu bila dini yoyote .
Watu wengi hasa waafrica wapo karibu na Dini Ila hawapo karibu na Mungu
Mtu aliyekaribu na Mungu ni wachache sana.
So mtu akitumia kigezo cha dini kuoa au kuolewa anakuwa bado hajitambui na hana ufahamu kuhusu maswala ya kiroho .
Shida unagoma kuelewa kwamba afrika kuna miungu miwili; Yahweh na Allah.Dini ni njia ya kukupeleka Kwa Mungu Ila unaweza kwenda Kwa Mungu bila dini yoyote .
Watu wengi hasa waafrica wapo karibu na Dini Ila hawapo karibu na Mungu
Mtu aliyekaribu na Mungu ni wachache sana.
So mtu akitumia kigezo cha dini kuoa au kuolewa anakuwa bado hajitambui na hana ufahamu kuhusu maswala ya kiroho .
Bora wew umesema ukweli ni rahis kuongea ikiwa unauhitaji ila ukija uhalisia wengi tunaangukia puaShida unagoma kuelewa kwamba afrika kuna miungu miwili; Yahweh na Allah.
Watu wanasemaga kiunafki mungu ni mmoja ila ikifika kwenye masuala kama ndoa ndo tunajua ukweli
Hata hivyo Wanawake unaowana mtaani, kanisani/msikitini, baani, garden nk ndio hawahawa waliopo mtandaoni.PhD halafu hajui anataka nini katka maisha mpaka anakuja kuokoteza wanawake mitandaoni?
Kufunga ndoa tunatafuta kibali Kwa Mungu kujiepusha na dhambi ya uzinifu
Dini tofaut ndoa mnafungaje mnaweza kuwa karibu na Mungu kiroho na mnazini?
Muunganiko kimaneno Tena ndo nn?Kuzini ni kuwa unalala na wanawake au wanaume tofauti tofauti ambao haupo katika muunganiko nao (bond)
Ukipata mwanamke /mwanaume unachofanya unatulia nae na kufanya nae muunganiko wa kiroho kupitia maneno , hapo ndo kibali hutokea.
Ikiwa mme wako au mke wako anatoka dini tofauti , ndoa inaweza kufungwa either kanisani au msikitini au serikalini au Kwa wazee wa mila .
Baada ya hapo kila mtu ataendelea na kusali sehemu anayoamini inamfungamanisha na nguvu yake ya juu (higher power )
Muunganiko kimaneno Tena ndo nn?
Mpe namba zangu, mahari alete nyani dume anatosha tunywe supu 😹Cheupe dawa jichomeke hapo au unafanya kunisubiria?
Rafiki yangu anatafuta Mwanamke mwenye sifa zifuatazo.
Umri 18-34
Elimu, yoyote ilimradi awe anajua kusoma na kuandika lugha ya kiswahili vizuri , maana huyu jamaa ana Biashara fulani kubwa na moja ya majukumu ya huyo mke atakuwa anasimamia baadhi ya Biashara zake na kutuma taarifa.
Dini - kuhusu dini yoyote ilimradi awe anatambua uwepo wa Mungu katika Maisha yake na kushiriki ibada za pamoja au peke yake.
Mwonekano :- awe na mwonekano Fulani mzuri akiwa mrefu , mweupe au rangi ya chocolates itapendeza .
Kuhusu kuwa na mtoto /watoto hilo sio tatizo.
Sifa za muhusika
Matured man 35
Hali ya uchumi -Financial stable
Kazi- Ameajiriwa katika moja ya shirika kubwa la chakula yupo UN
Pia anafanya na Biashara.
Elimu yake PhD
Dada /mama Kama upo interested utanicheki PM nikupe barua pepe yake muasiliane .