Rafiki yangu anataka kuahirisha kuoa Baada ya kutumiwa video ya ngono ya mke wake mtarajiwa!

Unaoa mwanamke ameshalala na wanaume 5+ unategemea purity? Kabinti kana 25 kameshawekwa hadi basi, ukitaka kukachunguza hutaoa, wengi ni wametumika sana.
Ukweli mchungu
 
Jamaa alitaka kuzisambaza video mitandaoni na kudeal na yule jamaa yetu but sheria iko wazi-cybercrime
Asambaze Wala asidili na jamaa ahaairishe ndoa. Hizo video atumie watu wake wa karibu wote mpaka wazazi wa mke
 
Bila kuwa na moyo huwezi shinda ndoa. Siri mingi kuliko matukio.
 
Abadili mchumba then aedit kadi za harusi.... mengine yabaki kama yalivyo
 
Kila mmoja atachanganyikiwa kwa wakati wake.
Muda wa bi harusi uwe siku ya sendoff tukio lionyeshwe kweny screen kazi kwisha
 
Tukisema muishi nao tu bila ndoa hamtuelewi.
 
Acheki mwanamke mwingine aoe
 
Sio wewe uliyekutwa na hiko kisanga alaf unamsingizia rafiki yako?
 
Sikia mshauri aendelee na ndoa,ataongea nae baada ya harusi na wasamejrane tu
 
Maajabu Bikra wanaolewa kwa laki SITA Kila kitu tayar, nyinyi mnaoa matatizo kwa mamilioni ya fedha, eti ukumbi suti nguo za harusi zote za nini na mnanyanduana Kila siku? PIGWENI TU HAINA JInsi
 
Asiache kuoa andelee na process maana tayari huyo demu atakuwa na experience za kutosha kutoka kwa wanaume mbalimbali na rika mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…