Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
asisahau kuvunja na ungo 😅Avunje ndoa kisha avunje nyumba.
Avunje vitu vyote vilivyomo ndani kama chupa za chai n.k
Kati ya nyumba na amani yake kipi cha muhimu? Unapoamua kubomoa lazima uingie gharama. Nyumba awaachie watoto ajenge nyingine.Wakuu
Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.
Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.
Una akili nzuri ujengewe mnaraAvunje tu maana hadaiwi chochote pesa inatafutwa atajipata tena
Bibie wewe ni mkorofi ujue!asisahau kuvunja na ungo 😅
Siyo kujenga ukweni tu usikubali hata ofa zao ipo siku utalipiaIntelligent businessman alipokua anasema mwanaume wa kweli hakai, wala hajengi ukweni huwa hamuelewi
Hiki ni kichaa sio cha kawaida😄Avunje ndoa kisha avunje nyumba.
Avunje vitu vyote vilivyomo ndani kama chupa za chai n.k
Halafu wanae wakakae wapi? Nyie wanaume huwa ni wabinafsi sana! Si achukue chumba kimoja alale..Mwambie kisheria kiwanja ni cha wakwe sawa, lakini tofali, mabati na nondo alinunua yeye. Kama vipi, atafute mafundi wakang'oe paa, madirisha ya alumini, na milango yote asepe nayo.
Yeye si anataka kuvunja ndoa bhana!Hiki ni kichaa sio cha kawaida😄