Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

Wakuu

Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.

Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.

Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Itakua we mwenyewe sikia kiongozi hiyo nyumba iache wataishi wanao
 
First things first. Alianzaje kujengwa ukweni?
 
Kila nyaraka inasoma majina ya wakwe😂😂

Kiufupi hyo hana chake mkwe atasema niliwastili vijana wangu kwasababu ya upendo ila mkwe wangu ananipandishia sauti

Enewei
Wahenga walisema husijenge ukwen ata kama hicho kiwanja umepewa ba mkwe
 
Wakuu

Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.

Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.

Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Nemo dat qoud non habet...akajitafute upya tu.
 
Nawashangaa wanaosema avunje hiyo nyumba!!! Roho za kimaskini sana hizo!!!
maumivu anayopitia huyo jamaa sio ya kawaida,
tulianza kujenga kibanda chenyewe kilikuwa usawa wa madirisha tayari mkipishana kidogo "kama vipi tuachane tuuze nyumba" nikaona isiwe tabu nikaamua acha mission iwe aborted nakaaanza jenga sehemu nyingine kwa siri nilivyomaliza nikachukua mafundi watatu nikawaambia hakikisheni hata tofali lijiangusha lenyewe mnalivunja
tuliishia kuuza kiwanja basi
 
Wakuu

Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.

Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.

Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Unapataje nguvu ya kujenga ukweni,hapo avunje ndoa tu,nyumba hata watoto wake wataishi
 
Back
Top Bottom