Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Ndio avunje mpaka chupa za chai? Ni dhiki iliyoje?Yeye si anataka kuvunja ndoa bhana!
Ndio avunje mpaka chupa za chai? Ni dhiki iliyoje?Yeye si anataka kuvunja ndoa bhana!
Angekuwa mwanamke amejenga kwa wakwe zake mngesema anadhulumiwa.Halafu wanae wakakae wapi? Nyie wanaume huwa ni wabinafsi sana! Si achukue chumba kimoja alale..
NMBAua achukue mkopo mkubwa apite hivi
Katika ushauri wa maana katika comment zilizotangulia ni huu.Kati ya nyumba na amani yake kipi cha muhimu? Unapoamua kubomoa lazima uingie gharama. Nyumba awaachie watoto ajenge nyingine.
Ni kheri achukue mkopo asepe mana akiacha NYUMBA kesho ataletwamo mwanaume mwingine
Kati ya ndoa na chupa ya chai kipi cha muhimu?Ndio avunje mpaka chupa za chai? Ni dhiki iliyoje?
Ila asijichanganye kuvunja sheria za nchi!asisahau kuvunja na ungo 😅
Mkuu asichukue chochote awaachie tu mathalani wamezaa watoto ahesabu kuwa nyumba aliyojenga ni mali ya hao watoto akiwaza kuhusu mkewe kuleta mwanaume ataweukaNi kheri achukue mkopo asepe mana akiacha NYUMBA kesho ataletwamo mwanaume mwingine
Kisheria hili haliwezekani kwasababu kuna watoto ambao wao hawahusiki na ugomvi wao. Na sheria inalinda sana haki za watoto. Yaani hapo jamaa akubali tu ugenini kufungwa 2-0.Mwambie kisheria kiwanja ni cha wakwe sawa, lakini tofali, mabati na nondo alinunua yeye. Kama vipi, atafute mafundi wakang'oe paa, madirisha ya alumini, na milango yote asepe nayo.
Ndio, we huoni aibu kujengewa nyumba na mkeo? Wanaume wa sikuhizi mkoje!?Angekuwa mwanamke amejenga kwa wakwe zake mngesema anadhulumiwa.
Na ndio dharau ambazo wanaume hatutaki nyumba niliyojenga ulete mwanaume mwingine akae!Mkuu asichukue chochote awaachie tu mathalani wamezaa watoto ahesabu kuwa nyumba aliyojenga ni mali ya hao watoto akiwaza kuhusu mkewe kuleta mwanaume ataweuka
Chupa ya chaiKati ya ndoa na chupa ya chai kipi cha muhimu?
Ila dharau za kujenga ukweni mnazimudu!Na ndio dharau ambazo wanaume hatutaki nyumba niliyojenga ulete mwanaume mwingine akae!
Vipi kiwanja kingekua cha mume, ungekuja na hoja mke aondoke akakae kwenye chumba kimoja, awapishe mume na watoto kwenye nyumba. Janja janja zenu tushazijua. Mnawatanguliza watoto kumbe mnalinda masilaho yenu wenyewe.Halafu wanae wakakae wapi? Nyie wanaume huwa ni wabinafsi sana! Si achukue chumba kimoja alale..
Umekosea, jibu sahihi ni ndoa.Chupa ya chai
Mimi nime comment vile makusudi kwa sababu huyo mwanaume anaonekana hana pesa, mtu kama huyo anapaswa kupewa ushauri gani Seran?Ndio, we huoni aibu kujengewa nyumba na mkeo? Wanaume wa sikuhizi mkoje!?
Basi abaki yeye na watoto! MbonaVipi kiwanja kingekua cha mume, ungekuja na hoja mke aondoke akakae kwenye chumba kimoja, awapishe mume na watoto kwenye nyumba. Janja janja zenu tushazijua. Mnawatanguliza watoto kumbe mnalinda masilaho yenu wenyewe.
Auze nyumba kiwanja chake? Angetumia akili Tangu mwanzo kabla hajaanza ujenzi! Kama Unaona ni akili pia sawa avunje abebe waneae asepe!Hapo nyumba iuzwe kila mmoja achukue mgao wake then wakubaliane watashirikiana vipi kwenye gharama za malezi ya mtoto. Kama haiwezekani basi mume alete tingatinga aivunje nyumba then aondoke na watoto wake kama mke hana pa kwenda kuishi nao