Rafiki yangu anawaza kuvunja ndoa, lakini nyumba yake alijenga kwenye kiwanja cha wakwe, afanye nini?

Kujenga uwanja uliopewa na wakwe sio ishu je jina la kiwanja linasoma la nani? Kama jina si lake njia nyepes akachukue mkopo bank unaoendana na dhaman ya uwanja na nyumba then ndio wajadili kuvunja ndoa
Hivi bank wanapokea dhamana ya mali ambayo haina jina la muhusika?
 
Wakuu

Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.

Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.

Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Mwambie akubali hasara tu hana jinsi kwani alifanya upumbavu tangu mwanzo .

Na sisi wengine nikuchukua funzo tu .
 
Wakuu

Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.

Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.

Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Usikute ana fanyiwa visa ili aachie nyumba
 
Nyumba si watakaa watoto wake?,wasiwasi wa nini sasa?,au sio damu yake hao watoto
 
Wajinga ndo waliwao,siku hizi mchumba hasomeshwi,hakuna kujenga ukweni au kiwanja cha mke labda kama tayari mna watoto,ushauri wauze nyumba wagawane maprosoo au kwa hasira abomoe
 
Wakuu

Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.

Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.

Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Ahame na nyumba yake awaachie kiwanja chao
 
Aweke X Aite Bordozer Avunje kabisa
Kumbe wengi humu hatuelewi sheria isee!

Ukijenga kwenye kiwanja cha wakwe, hiyo siyo nyumba yako utakuwa umewajengea wao.

Hilo bulldozer na kwenda kuvunja nyumba ya watu utafungwa!

Ukitaka kuishi kwa amani ukweni (ingawa sishauri), hakikisha wanakumilikisha kiwanja hicho kisheria kabla haujafanya uwekezaji wowote.

Kauli za kusema:'watoto wangu jengeni tu hapa, kiwanja cha kwenu nimewapatia hiki' ni za kupuuzwa.

Atakayekuwa kapewa hapo si wewe na kama mkeo wazaliwa ni wengi, naye pia atakuwa hajakipewa pia, mtakuwa mmesakiziwa mgogoro, ni mtego.
 
kama unazo sababu za kuvunja ndoa fanya hivyo...nyumba ni kitu kidogo sana utajenga...kikubwa uhai afya na aman ya moyo...
 
Wakuu

Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.

Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.

Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.

Achukue mabounsa wakabebe nyumba yake. Kama mbwai na iwe mbwai
 
Back
Top Bottom