Nkulu wa nchito
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 2,078
- 2,759
Itakua we mwenyewe sikia kiongozi hiyo nyumba iache wataishi wanaoWakuu
Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.
Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.
Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Ni yeye mwenyewItakua we mwenyewe sikia kiongozi hiyo nyumba iache wataishi wanao
First things first. Alianzaje kujengwa ukweni?Wakuu
Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.
Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.
Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Nawashangaa wanaosema avunje hiyo nyumba!!! Roho za kimaskini sana hizo!!!Asivunjee si wana watoto
Wabinafsi na roho za kimaskiniHalafu wanae wakakae wapi? Nyie wanaume huwa ni wabinafsi sana! Si achukue chumba kimoja alale..
Watoto wake si watakaa!!! Hata yeye akitaka kuvunja siyo sahihiAngekuwa mwanamke amejenga kwa wakwe zake mngesema anadhulumiwa.
Nemo dat qoud non habet...akajitafute upya tu.Wakuu
Nina rafiki yangu ambaye baada ya kuoa, miaka takribani sita baadaye alibahatika kupata watoto wawili, ambapo yeye na mkewe walipewa uhuru wa kuchagua eneo katika kiwanja cha wakwe upande wa Mwanamke na kujenga nyumba yao, baada ya nyumba kukamilika na kuhamia hapo, migogoro ilianza na hali hiyo imemuumiza sana kisaikolojia.
Baada ya kuona maisha ya ndoa yamebadilika na kuwa machungu, sasa hatamani tena ndona na anawaza kuvunja ndoa hiyo, lakini anapokumbuka kuwa nyumba yake ambayo alitumia gharama kubwa sana mpaka ikakamilika, imejengwa kwenye kiwanja cha wakwe, na hajui afanye nini kuhusu mali hiyo.
Mbaya zaidi nyaraka zote zinasoma majina ya wakwe zake, yaani hali hiyo ndiyo imezidi kumchanganya zaidi.
Ila nyie.Kwa hapo mmemaliza kumshauri mwanandoa😀😀asisahau kuvunja na ungo 😅
maumivu anayopitia huyo jamaa sio ya kawaida,Nawashangaa wanaosema avunje hiyo nyumba!!! Roho za kimaskini sana hizo!!!
Unapataje nguvu ya kujenga ukweni,hapo avunje ndoa tu,nyumba hata watoto wake wataishiWakuu