secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 2,998
- 4,948
Badaye ka kwambia uje utuambie au wewe umejituma tu kuja na umbeya wakike.Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina.
Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani,
hebu mniambie mbinu nitakayoitumia kukwepa kufunga.
Ni hayo
Niko mahala hapa, imeshuka beiULizia wenye guest na kitimoto wanavyoteseka mwezi huu
Ni uhuru wake wa kikatiba na kibinadamu.Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina.
Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani,
hebu mniambie mbinu nitakayoitumia kukwepa kufunga.
Ni hayo
Wenye kitimoto tena😆😂😅...ULizia wenye guest na kitimoto wanavyoteseka mwezi huu
Hapana mkuu.Huyo rafiki yako ndio wewe Wacha janja janja😂
Ana ndoto ya kuwa mufti, sasa kwa anayoyafanya sidhani kama ndoto yake inaweza kutimia.Ni uhuru wake wa kikatiba na kibinadamu.
Kwani tatizo liko wapi?
Hata isipotimia kwa sababu mtu mwenyewe muongomuongo, tatizo liko wapi?Ana ndoto ya kuwa mufti, sasa kwa anayoyafanya sidhani kama ndoto yake inaweza kutimia.
Watu sijui wakoje mkuu.Watu hawamuogopi Mungu anayeona yaliyo ndani wanaogopa macho ya watu wenye dhambi kama wao walioamua kufanya unafiki kwa kigezo cha ibada.
Simtaki mufti mwongo hata kidogoHata isipotimia kwa sababu mtu mwenyewe muongomuongo, tatizo liko wapi?
Unataka Mufti muongo?
Sasa hata nia yake isipotimia kwa sababu mtu mwenyewe muongomuongo, tatizo liko wapi?Simtaki mufti mwongo hata kidogo
Mkuu leo lazima ukome ubishi😂😅Tunafunga basi tuu ila in seriously show kali wakuu..
Kama leo mimi sijui if ntatoboa an naona kabisa siku ishazingua aiseee..
Kiu sio kiu
Njaa sio njaaa
An matatizo matupu..
Why kuna kufunga jamn🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Acha fanya toba kwa njia nyengine.Tunafunga basi tuu ila in seriously show kali wakuu..
Kama leo mimi sijui if ntatoboa an naona kabisa siku ishazingua aiseee..
Kiu sio kiu
Njaa sio njaaa
An matatizo matupu..
Why kuna kufunga jamn🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
Kweli mkuu umenifumbua macho. Yule jamaa akiwa mufti atatupotosha.Sasa hata nia yake isipotimia kwa sababu mtu mwenyewe muongomuongo, tatizo liko wapi?