Rafiki yangu juma amebadili jina, sasa hivi anajiita Yekonia kisa mfungo

Rafiki yangu juma amebadili jina, sasa hivi anajiita Yekonia kisa mfungo

Tunafunga basi tuu ila in seriously show kali wakuu..
Kama leo mimi sijui if ntatoboa an naona kabisa siku ishazingua aiseee..

Kiu sio kiu
Njaa sio njaaa
An matatizo matupu..

Why kuna kufunga jamn🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺🥺
kama hujui maana ya kufunga kwanini ufuate mkumbo?
 
Back
Top Bottom