Rafiki yangu juma amebadili jina, sasa hivi anajiita Yekonia kisa mfungo

Rafiki yangu juma amebadili jina, sasa hivi anajiita Yekonia kisa mfungo

SEMA KUNA WATU WANATAPATAPA SANA, HUKU WANADAI AKINA JUMA MWEZI HUU WAMEJIGEUZA MAJINA KUJIITA MAJINA YA KIKIKRISTU.
KWINGINE WANALALAMIKIA NYAMA ZA NGURUWE KUDODA MWEZI HUU.
Kivyao, mimi nihangaike nao kwani wananisumbua nini?
 
"Si ndo nakutana na Shabani namjua,
Namsalimia Shebby ameuchubua,
Shebby Anasuasua,
Au I'm not sure,
Kumbe huku anakwenda kama Pastor Joshua"
 
Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina.

Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani,
hebu mniambie mbinu nitakayoitumia kukwepa kufunga.


Ni hayo
Mi jamaa yangu anajiita immanuel kitomoto anakula hatari
 
Back
Top Bottom