Rafiki yangu juma amebadili jina, sasa hivi anajiita Yekonia kisa mfungo

Na Huu Mwanga Mkali Mnoo Wa Hili Jua Si Mchezo,Kwenda Mbinguni Kugumu Mnoo Ndugu Wananchi Wenzangu Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Na Huu Mwanga Mkali Mnoo Wa Hili Jua Si Mchezo,Kwenda Mbinguni Kugumu Mnoo Ndugu Wananchi Wenzangu Wa Jamuhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Alafu unakuta kuna watu wansema et mara sijui ndo afya mara nini sijui
 
Alafu mwanzon ulivoanza kunijibu nikajua naongea na mtu na heshima zake mkuu ila sasa napata wasi wasi 😁😁😁🙌
Hahaha, mkuu nina heshima zangu,nimekufanyia utani kidogo, ila kama unafunga lakini huna imani juu ya unachofanya unakosea, na hapo haufungi unashinda mbaya
 
Jumapili ijayo njoo nae kwenye ibada tuombe toba na baraka mbele ya mifuko miwili ya cement iliyochanganywa na kokoto ikapigwa rangi
 
Ndiooo UJUE kuna jehanum na mbinguni
 
Hayu jamaa suala la Kula, kwake ni sawa Sawa na kuvuta oxygen ndiyo maana kipindi cha mfungo hubadili jina.

Najua mnaokwepa kufunga mko wengi humu ndani,
hebu mniambie mbinu nitakayoitumia kukwepa kufunga.


Ni hayo
Hahahaaaa umenikumbushaaaa
Tigo 2 max Yas

Hahahahahahahaa
 
Huu mwezi una VITUKO sana mwakajana nilikutanaaaa na mzigo MMOJA kala shungi mbaya pale sinza kwenye koridor kuangalia na jirani loh

NKavumiliaa mwezi unaofwata nkanza mbio nae woiii safari hii HATA ushungi akuweka tukaingia lodge Ile Ile ....nkaelewa kwann tigo wamehamia m.yas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…