Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

Dah....mie nitamuwekea dhamana...kwa masharti [emoji2960]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida inaanzia mpakani

Angalia arusha inapakana na nchi gani, halafu fatilia wanawake wa hiyo nchi, refer lucy kibaki yiley mbibi ilikuwa full kipondo kwa yeyote anayezingua
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Lucy alikuwa mbabe sana.
 
Halafu vijana wa kiume wakikataa kuoa mtawasakama hawataki kuoa

Wewe ni mwanasheria?nina kesi yangu
Nilikuwa mahakamani, niliamua kuacha kazi baada ya kumfunga mtu zaidi ya miaka 30 kwa Kesi ya kubaka na kulawiti, nilijiskia vibaya lakini ilibidi iwe hivyo,
maana sipendi hizo mambo. Ukiwa hakimu unatakiwa uwe na roho ngumu wakati mie siwezi
Sahiv Nipo tu kitaaa nadunda tu kama kitenesi natamani nirudi kule kule.
 
Duuh!! Inambidi aipunguze hiyo tabia kwani si ajabu ikaja siku huyo mume wake akauvaa ujasiri na kumpa kipigo ambacho kitakuwa dawa kwake na ndio itakuwa mwanzo na mwisho wa hiyo tabia yake mbaya.
Mara zote kosa huanda kwa anayemaliza. Huyo mume siku akija kumbadilikia ampe kichapo itaonekana kama amemuonea!
 
Birds of a feather?[emoji849][emoji849][emoji849][emoji15]

Like seriously mkuu? Au unatania[emoji16][emoji16]
Very serious! I ain't wrong at all! Cheki cheki kokote u'll prove that i'm right,right...and you are wrong left!!
 
🤣🤣🤣🤣🤣 rafiki zako wananiachaga hoi
 
Ni sifa za kijinga hizo,kupigana pigana kwenye ndoa ni mambo ya kishamba.Huyo jamaa siyo mpole sema kuna siku mtakuja kuleta taarifa zake mpya hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…