Rafiki yangu kamfumania mkewe gesti

Hao wenye gesti nao ni maboya, huwezi kuruhusu Mtu kumfuata Mgeni wenu chumbani bila ridhaa ya Mgeni.
Unajua ilitakiwa hao wenye gesti waombe cheti cha ndoa cha waliochukua chumba, vinginevyo wanaweza kuonekana wanafanya biashara ya danguro?
Kwa hivyo mwenye mke akija hawana jinsi lazima wamruhusu, sema lazima aje na watu wa serikali ya mtaa na polisi.
 
Jamaa sio ajabu alitoka mbio wilaya jirani na gari au pikipiki nusura apate ajali afe amuache mkewe anakula maisha na jamaa.
Hayo yotenkisa kufumania!
 
Sure
 
Hakuna namna nitaamua tu
 
Ona sasa maajabu ya wanawake Unaweza kuta mke kakimbilia kwa mchepuko kupat dozi zaidi kwa ajili ya kupunguza maumivu ya kupigwa😀 hawa wanawake waoneni hivi hivi tu!!
 
Yaani shida, lakini wanawake wanavumilia mengi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukute anaumia kweli hatuwezi jua

Sent using Jamii Forums mobile app
Chukua maelezo yote ya Kibuyu, amesema mwanamke anapokuwa kwa hawala huwa anaweza kukunjwa namna yoyote ile, lakini akiwa kwa mme wake analalamika anaumia, mara ooh miguu inauma, mara kifua kinauma, mara unanichosha, mara nyingi hapo ujue akili inakuwa imehamia kwa hawara yake, jibia hapa.
 
Mwanamke hapigigwi hugo jamaa akamatwe na kufikishwa kituoni haraka sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo ni madhara ya kuoa mwanamke ambaye hana bikra. Unaweza jamaa ndo aliyemtoa bikra na hawajaachana ila njema haitaki kuoa inamega kisera

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…